Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpongeza mbunge wa Jimbo la Nzega kwa kazi nzuri anazofanya Jimboni mwake.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa wilaya ya Nzega Mkoani Tabora mara tu baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa vibanda 54 katika uwanja wa Samora.
Baadhi ya Madiwani wa CCM wa wilaya ya Nzega wakinyoosha mikono juu kuwapungia wananchi wakati wa mkutano wa hadhara uliowakutanisha waendesha pikipiki,baiskeli na wauza mboga mboga wa wilaya ya Nzega.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,Katibu wa CCM Mkoa wa Tabora Ndugu Idd Ame.
Mohamed Munazir ,Mwenyekiti wa Wazazi Kata ya Bukene.
Katibu wa CCM Wilaya ya Nzega Kajoro Vyohoroka akizungumza machache wananchi wa wilaya ya Nzega .
Katibu wa CCM Mkoa wa Tabora Ndugu Idd Ame akitoa bashraf wakati wa mkutano wa hadhara.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimia wakazi wa Wilaya ya Nzega .