Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward
Lowassa akikata utepe na kufungua pazia katika jiwe la msingi ikiwa ni ishara
ya Ufunguzi rasmi wa Jengo la Madarasa ya Shule ya awali ya Kanisa la AICT
(Africa Inland Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama Mjini.ambapo baadae aliendesha
Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Shule ya Msingi ya Kanisa hilo ambapo zaidi ya
shilingi Milioni 212 zilipatikana zikiwemo na ahadi.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward
Lowassa akipanda Mti katika eneo la Kanisa hilo.
Baadhi ya Wananchi waliohudhuria kwenye hafla hiyo wakifuatilia jambo kwa makini.
Kwaya ya Kanisa la Kanisa la AICT (Africa Inland Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama Mjini ikitumbuiza Nyimbo mbali mbali kwa furaha.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipokea Michango Mbali Mbali kutoka
kwa Marafiki zake.