Mtaalam wa Upishi wa Pombe kutoka Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Tawi la Arusha, Jacob Mgowe akiwatembeza
baadhi ya washjiriki wa shindano la Redd’s Miss Tanzania 2013 wakati wartembo hao walipotembelea kiwanda
hicho kujionea uzalishaji wa pombe zake.