RAIS DKT. SAMIA AMPONGEZA MWANARIADHA SIMBU
Amkabidhi Nyumba jijini Dodoma Mheshimiwa Majaliwa asema Simbu ameliheshimisha Taifa Atoa zawadi kwa Timu zilizofanya vizuri kimataifa Rais ...

Latest Post
August 16, 2014
MAKATIBU WA JUMUIYA ZA CCM JIJINI WAKIWAJIBIKA
Written By CCMdijitali on Saturday, August 16, 2014 | August 16, 2014
Viongozi wa Jumuiya za CCM wakiwa katika Ofisi zao Wilayani Arusha, katika kufanikisha kazi zao za kila siku, kama walivyokutwa na mpiga picha wetu.

Katibu wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Khimji akiwa tayari katika maeneo yake ya kazi za kila siku, katika Ofisi za Chama Jijini Arusha.

Katibu wa UWT Wilaya ya Arusha Ndg Fatuma Hassan , akiwa Ofisini kwake , tayari kuwajibika na majukumu ya kuwainua akina mama.
Labels:
ARUSHA