Kulia ya Balozi Seif ni Katibu Mkuu wa UVCCM Tanzania Nd.
Sistus Mapunda na kushoto yake ni Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Nd. Shaka
Hamdu Shaka.
Baadhi ya washiriki wa matembezi ya kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964.
Vijana wa Kikundi cha
Sarakasi cha Kijiji cha Bungi wakifganya vitu vyao wakati wa hafla ya uzinduzi
wa Matembezi ya UVCCM kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Balozi Seif akimkabidhi Kiongozi wa Matembezi ya UVCCM Nd.
Daud Awesu picha ya Mwenyekiti wa CCM Taifa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ambayo
wataitumia katikamatembezi yao.
Kulia ya Balozi Seif ni Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mh. Sadifa
Juma Khamis na Mh. Jerry Slaa wakati kushoto ya Balozi ni Katibu Mkuu wa UVCCM
Nd. Sistus Mapunda.
Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.