Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki
kupaka rangi jiko la mkaa mara baada ya kuwatembelea vijana jimbo la Gando.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia
wakazi wa Jimbo la Wete Pemba ambapo aliwataka wananchi hao kusoma vizuri na
kuipima Katiba iliyopendekezwa,Katibu Mkuu wa CCM yupo kwenye ziara ya siku 5
ya kujenga na kuimarisha chama Pemba.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia
wananchi wa Wete ,Pemba katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mtemani Wete
Wananchi
kisikiliza kwa makini hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
Nyuso za wananchi zikionyesha kuelewa sana hotuba ya Kinana
ambayo imefafanua masuala mengi yakiwemo ya Katiba mpya.
Mamia ya wananchi wa
Wete wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye yupo
Pemba kwenye ziara ya kujenga na kuimarisha Chama.
Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Abood
akihutubia wananchi hao ambao aliwasihi kushiriki chaguzi katika hali ya amani
na utulivu.
Balozi Ali Karume akihutubia wananchi Wete ambapo aliwaambia
wananchi hao kufikiria mambo muhimu na ya msingi wao wenyewe badala ya kusubiri
kufikiliwa na mtu mwingine.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia
wakazi wa jimbo la Ole mara baada ya kupokea taarifa ya Kikundi cha Taifa cha
Kampeni Kanda ya Pemba kikundi cha Taarab Maendeleo Kangagani.
Dk.Maua Daftari akialimia wananchi wa tawi la
Kangagani,jimbo la Ole Pemba.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia
wanachuo wa chuo cha ualimu cha Benjamini William Mkapa ambapo alishiriki kazi
za ujenzi wa ofisi ya serikali ya wanafunzi,Kojani Pemba.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (wa pili
kushoto) akishiriki uzikaji wa mabomba ya maji safi na salama jimbo la Mtambwe
Pemba.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki
kutengeneza malighafi kwa ajili ya kupikia zinazotunza mazingira,Katibu Mkuu wa
CCM alitembelea jumuiya ya kutunza mazingira na ufugaji samaki,Gando.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitembelea
bwawa la ufugaji samaki lililo chini ya jumuiya ya kutunza mazingira na ufugaji
samaki ,Gando.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akila haluwa ya
kitutia njia panda ya msiki wa ijumaa,Wete Pemba.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza
kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya wilaya ya Wete kwenye kikao cha Halmashauri
Kuu ya wilaya.