Home » » BALOZI WA CHINA NCHINI AKABIDHI MADARASA JIJINI ARUSHA

BALOZI WA CHINA NCHINI AKABIDHI MADARASA JIJINI ARUSHA

Written By CCMdijitali on Tuesday, March 31, 2015 | March 31, 2015

BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, MHESHIMIWA Lv YouQing AKIWA NA MWENYEJI WAKE  MKUU WA WILAYA YA ARUSHA NDUGU CHRISTOPHER KANGOYE ALIYEMPOKEA KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA,WAKIPOKELEWA NA UMATI WA WANAFUNZI MARA ALIPOWASILI KATIKA SHULE YA MSINGI YA MURRIET.
 MKUU WA WILAYA YA ARUSHA NDUGU CHRISTOPHER KANGOYE AKITETA JAMBO NA KATIBU TAWALA WAKE NDG DANIEL MACHUNDA .

 BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, MHESHIMIWA Lv YouQing AKIWA NA MWENYEJI WAKE  MKUU WA WILAYA YA ARUSHA NDUGU CHRISTOPHER KANGOYE ALIYEMPOKEA KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA, WAKIZINDUA RASMI MADARASA HAYO.








MENEJA MKUU WA KAMPUNI YA JINGXI GEO -ENGINEERING (GROUP) CORPORATION  YA NCHINA CHINA, AKIELEZEA JINSI WALIVYOFIKA NCHINI NA MIRADI WALIYOFANYA JIJINI AARUSHA , KAMPUNU AMBAYO NDIYO ILIYOJENGA MADARASA HAYO.

KATIBU TAWALA OFISI MKUU WA WILAYA YA ARUSHA NDG DANIEL MACHUNDA.AKIONGEA NA WANANCHI ,KATIKA SHULE YA MSINGI YA MURRIET.
BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, MHESHIMIWA Lv YouQing NA KATIBU TAWALA OFISI MKUU WA WILAYA YA ARUSHA NDG DANIEL MACHUNDA.

MKUU WA WILAYA YA ARUSHA NDUGU CHRISTOPHER KANGOYE ALIYEMPOKEA KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA,AKITAMBULISHA VIONGOZI ALIOFUATANA NAO PAMOJA NA KUMKARIBISHA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, MHESHIMIWA Lv YouQing
BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, MHESHIMIWA Lv YouQing ,MUWAKILISHI WA MAMBO YA UCHUMI NA BIASHARA NCHINI WA JAMHURI YA WATU WA CHINA NDG Lin Zhi Young NA MENEJA MKUU WA KAMPUNI YA JINGXI GEO -ENGINEERING (GROUP) CORPORATION  YA NCHINI CHINA, ILIYOJENGA MADARASA HAYO.
BAADHI YA VIONGOZI MEZA KUU

BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, MHESHIMIWA Lv YouQing AKIONGEA NA UMATI WA WANANCHI WALIOJITOKEZA KATIKA SHEREHE FUPI ZA KUKABIDHI MADARASA MAWILI YA SHULE YA MSINGI YA MURRIET.




BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, MHESHIMIWA Lv YouQing AKIONGEA NA UMATI WA WANANCHI WALIOJITOKEZA KATIKA SHEREHE FUPI ZA KUKABIDHI MADARASA MAWILI YA SHULE YA MSINGI YA MURRIET.
BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, MHESHIMIWA Lv YouQing AKIUPUNGIA UMATI WA WANANCHI WALIOJITOKEZA KATIKA SHEREHE FUPI ZA KUKABIDHI MADARASA MAWILI YA SHULE YA MSINGI YA MURRIET.

BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, MHESHIMIWA Lv YouQing AKIWA AKIWA NA KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA NDG JASPER KISHUMBUA MARA BAADA YA KUPATA MLO WA MCHANA JIJINI ARUSHA .
 ,NAIBU MEYA WA JIJI LA ARUSHA KWA NIABA YA MSTAHIKI MEYA WA JIJI  MHESHIMIWA PROSPER MSOFE,AKITOA NENO LA KUSHUKURU KATIKA HAFLA FUPI YA KUKABIDHI MADARASA MAWILI YA SHULE YA MSINGI YA MURRIET.
 BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, MHESHIMIWA Lv YouQing AKIWA NA MWENYEJI WAKE  MKUU WA WILAYA YA ARUSHA NDUGU CHRISTOPHER KANGOYE ALIYEMPOKEA KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA, WAKISHANGILIA MARA BAADA YA KUGAWA ZAWADI ZA MIFUKO NA MIPIRA YA MGUU  KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI YA MURRIET.
 BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, MHESHIMIWA Lv YouQing AKIWA NA MWENYEJI WAKE  MKUU WA WILAYA YA ARUSHA NDUGU CHRISTOPHER KANGOYE ALIYEMPOKEA KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA, WAKIGAWA ZAWADI ZA MIFUKO NA MIPIRA YA MGUU  KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI YA MURRIET.
BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, MHESHIMIWA Lv YouQing AKIWA NA MWENYEJI WAKE  MKUU WA WILAYA YA ARUSHA NDUGU CHRISTOPHER KANGOYE ALIYEMPOKEA KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA, WAKIGAWA ZAWADI ZA MIFUKO NA MIPIRA YA MGUU  KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI YA MURRIET.
 BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, MHESHIMIWA Lv YouQing AKIWA NA MWENYEJI WAKE  MKUU WA WILAYA YA ARUSHA NDUGU CHRISTOPHER KANGOYE ALIYEMPOKEA KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA WAKIWA NA DIWANI WA KATA YA SOKON I MHESHIMIWA MICHAEL KIVUYO  WAKIGAWA ZAWADI ZA MIFUKO NA MIPIRA KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI YA MURRIET.
 BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, MHESHIMIWA Lv YouQing AKIWA NA MWENYEJI WAKE  MKUU WA WILAYA YA ARUSHA NDUGU CHRISTOPHER KANGOYE ALIYEMPOKEA KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA,NAIBU MEYA WA JIJI LA ARUSHA KWA NIABA YA MSTAHIKI MEYA WA JIJI  MHESHIMIWA PROSPER MSOFE,WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAALIMU WA SHULE YA MSINGI YA MURRIET.
 BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, MHESHIMIWA Lv YouQing AKIWA NA MWENYEJI WAKE  MKUU WA WILAYA YA ARUSHA NDUGU CHRISTOPHER KANGOYE ALIYEMPOKEA KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA,NAIBU MEYA WA JIJI LA ARUSHA KWA NIABA YA MSTAHIKI MEYA WA JIJI  MHESHIMIWA PROSPER MSOFE, MUWAKILISHI WA MAMBO YA UCHUMI NA BIASHARA NCHINI KUTOKA JAMHURI YA WATU WA CHINA NDG Lin Zhi yOUNG NA MENEJA MKUU WA KAMPUNI YA JINGXI GEO -ENGINEERING (GROUP) CORPORATION  YA NCHINA CHINA, ILIYOJENGA MADARASA HAYO.
 BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, MHESHIMIWA Lv YouQing AKIWA NA MWENYEJI WAKE  MKUU WA WILAYA YA ARUSHA NDUGU CHRISTOPHER KANGOYE ALIYEMPOKEA KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA,KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAZEE WA MILA NA VIONGOZI WA KATA YA SOKON I , AKIWEMO KATIBU WA SIASA NA UENEZI WA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG JASPER KISHUMBUA , KATIKA SHEREHE FUPI YA KUKABIDHI MADARASA YA SHULE YA MSINGI YA MURRIET.
 BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, MHESHIMIWA Lv YouQing AKIWA NA MWENYEJI WAKE  MKUU WA WILAYA YA ARUSHA NDUGU CHRISTOPHER KANGOYE ALIYEMPOKEA KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA,WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA BAADHI YA WAZAZI WALIOHUDHURIA KATIKA SHEREHE FUPI YA KUKABIDHI MADARASA.





 BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, MHESHIMIWA Lv YouQing AKIWA NA MWENYEJI WAKE  MKUU WA WILAYA YA ARUSHA NDUGU CHRISTOPHER KANGOYE ALIYEMPOKEA KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA, WAKIKAGUA MOJAWAPO  YA MADARASA YA SHULE YA MSINGI YA MURRIET YALIKABIDHIWA , MARA BAADA YA SHEREHE FUPI YA KUKABIDHI MADARASA HAYO MAWILI.

 BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, MHESHIMIWA Lv YouQing AKISHIRIKI KUCHEZA  NGOMA YA ASILI YA KABILA LA KIMASAI.

BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, MHESHIMIWA Lv YouQing AKIONDOKA KUELEKEA UWANJA WA KIMATAIFA WA KILIMANJARO





Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link