Baadhi ya Majengo ya Hoteli ya Karafuu Beach Resort Spa ya Michamvi yaliyoungua kwa moto usiku wa kuamkia juzi na kusababisha hasara ya mamilioni ya fedha.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akiwa na mwenyeji wake Meneja wa Karafuu Beach Resort Spa Bwana Zakaria Juma wakiangalia baadhi ya majengo yaliyoteketea kwa moto juzi alfajiri.