Meneja wa Tigo Kanda ya Kaskazini Deogratius Ndejembi akiongea na wanachuo wa chuo cha Uhasibu Arusha(IAA) wakati wa kongamano la kuwaelimisha na kuwasaidia wanavyuo jinsi ya kupata ajira wamalizapo masomo, kongamano hilo lilidhamini na kampuni ya Tigo lilifanyika mwishoni mwa wiki mkoani Arusha.
Baadhi ya wanachuo cha IAA wakisikiliza kwa makini.
Afisa Mauzo wa Tigo Musa Msemo akitoa maelezo kwa mmoja ya wanachuo waliohudhuria kongamano hilo.
Baadhi ya wanachuo cha IAA wakisikiliza kwa makini.