Home » » Katibu wa Jumuiya ya WAZAZI Wilaya ya Geita Ndg Happyness J. Nyamasagara atembelea Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.

Katibu wa Jumuiya ya WAZAZI Wilaya ya Geita Ndg Happyness J. Nyamasagara atembelea Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.

Written By CCMdijitali on Wednesday, April 8, 2015 | April 08, 2015

 Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua kushoto akiwa na  Katibu wa Jumuiya ya WAZAZI Wilaya ya Geita Ndg Happyness J. Nyamasagara,katika Ofisi za CCM Wilayani ya Arusha leo. 
 Katibu wa Jumuiya ya WAZAZI Wilayani hapo Ndg Rehema Mohamed kushoto akiwa na  Katibu wa Jumuiya ya WAZAZI Wilaya ya Geita Ndg Happyness J. Nyamasagara,katika Ofisi za CCM Wilayani ya Arusha leo. 
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua kushoto akiwa na  Katibu wa Jumuiya ya WAZAZI Wilaya ya Geita Ndg Happyness J. Nyamasagara,katika Ofisi za CCM Wilayani ya Arusha leo.

Katibu wa Jumuiya ya WAZAZI Wilaya ya Geita Ndg Happyness J. Nyamasagara ametembelea Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha na kufanya mazungumzo na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wialya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua katika ofisi za CCM Wilayani hapo na kujionea jinsi wanavyofanya kazi za kila siku. 

Aidha alipata fursa ya kuongea na Katibu wa Jumuiya ya WAZAZI Wilayani hapo Ndg Rehema Mohamed , kubadilishana uzoefu wa namna wanavyofanya kazi . 

Pia alipata fursa ya kutembelea eneo la wajasiriamali kwa jina maarufu "wauza vinyago" na kuwapa pole kwa kupatwa na janga la kuteketea kwa mali zao kwa kuunguliwa moto 
mwishoni mwa mwaka 2014. 
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link