Baadhi ya Wajumbne wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia Hotuba ya Balozi Seif hayupo pichani wakati akiifunga semina ya uchamguzi wa Bajeti na masuala yua Uchumi.
Waziri wa Fedha ZanzibarMh. Omar Yussuf kulia na Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mh. Nassor Ahmed Mazrui wakiwa makini kufutailia Hotuba ya Balozi Seif kwenye Semina yao.
Baadhi ya Watendaji Wakuu wa Serikali ambao wameshiriki Semina ya uchambuzi wa Bajeti na masuala ya Uchumi hapo Z. Ocean Hoteli Chuwini Wilaya ya Magharibi “ A “.
Press Release:-
“Sifikiri kabisa kwamba kutakuwepo au kuja kwa muwekezaji kutaka kuanzisha miradi ya kiuchumi wakati atashuhudia pamoja na kuona utulivu wa amani unakosekana kutokana na fitna na baadhi ya watu “. Alisema Balozi Seif.
“Mpango wa Bajeti inayozingatia matokeo { PBB } itatusaidia kuelewa walengwa wa program ni nani, program itatoa huduma gani “. Alifafanua Mtendaji Mkuu huyo wa Shughuli za Serikali.