Home » » BALOZI SEIF ALI IDDI ASEMA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA WANANCHI WAKE KUTATUA CHANGAMOTO NA MATATIZO YANAYOWAKUMBA WANANCHI WAKE .

BALOZI SEIF ALI IDDI ASEMA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA WANANCHI WAKE KUTATUA CHANGAMOTO NA MATATIZO YANAYOWAKUMBA WANANCHI WAKE .

Written By CCMdijitali on Tuesday, May 19, 2015 | May 19, 2015

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akifanya ziara ya kukagua Nyumba zilizoathirika na Mvua Mkubwa ya Hivi Karibuni ambazo zimeanguka baadhi ya Kuta zake.
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Haji Juma Haji aliyevaa shati ya Drafti na Kofia kati kati akimfahamisha Balozi Seif Kulia yake kadhia iliyowapata baadhi ya wananachi waliangukiwa na kuta za nyumba zao ndani ya Mkoa huo.

Kulia ya Balozi Seif ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Meja Mstaafu Juma Kassim Tindwa na mbele yao ni Bwana Khamis Haji Machano aliyebomokewa na Nyumba yake Hapo Kijiji cha Pitanazako Kizimbani.
 Balozi Seif akimkabidhi Saruji, Matofali na Mchanga Bwana Khamis Haji Machano ikiwa ni mchango utakaomsaidia kuanza matengenezo mengine ya nyumba yake.
 Balozi Seif akimfariji na kumpa Pole Mzee Tanzilu Waziri Muharizo wa Kijiji cha Pitanazako Geuni Kikombe Tele baada ya ukuta wa Nyumba yake kubomoka kutokana na Mvua kubwa za hivi karibuni.
 Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi akikabidhi Mchango wa shilingi Milioni 1,000,000/- Taslim zilizotolewa na Waziri wa Nchi OIfisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma Mh. Haroun Ali Suleiman kutekeleza ahadi aliyoitoa kwa Kikundi cha Ushirika cha Saccos cha Kijiji cha Upenja.

                                        Press Release:-


Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link