Home » » BALOZI SEIF ALI IDDI AKAGUA HARAKATI ZA UJENZI WA JENGO JIPYA LA ABIRIA WA USAFIRI WA ANGA

BALOZI SEIF ALI IDDI AKAGUA HARAKATI ZA UJENZI WA JENGO JIPYA LA ABIRIA WA USAFIRI WA ANGA

Written By CCMdijitali on Wednesday, May 20, 2015 | May 20, 2015

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wa Tatu kutoka kushoto akikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Abiria { Terminal 11 } katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar wa Abeid Amani Karume akiwa pamoja na uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano  Zanzibar.

Kushoto ya Balozi Seif ni Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Dr. Juma Malik Akio na Msimamizi wa ujenzi wa jengo la Abiria katika uwanja wa ndege wa Zanzibar,  upande wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia
 Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Nd. Yassir De Costa

 Msimamizi wa ujenzi wa jengo la Abiria katika uwanja wa ndege wa Zanzibar  upande wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Nd. Yassir De Costa akimpatiamaelezo Balozi Seif hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa mradi huo.

 Mshauri wa mradi wa ujenzi wa jengo la abiria { Terminal 11 } kutoka Kampuni ya ADPI ya Nchini Ufaransa  Mhandisi Guillaume Verna akifafanua hatua zilizochukuliwa katika utaalamu utaotumika katika ujenzi wa mikonga kwenye jengo hilo  jipya la abiria.
 Eneo litakalotumika kwa huduma mbali mbali ikiwemo maduka na katika jengo jipya la abiria linaloendelea kujengwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar.

                                      Press Release:-


Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link