Wakina Mama Mkoani Kilimanjaro wavunja rekodi ,kwa kujitokeza kumdhamini Balozi Amina Salum Ali.
Balozi Amina wakiongea jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro katika Ofisi ya Mwenyekiti CCM Mkoani hapo.
Balozi Amina akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi za CCM Mkoani Kilimanjaro.
Katibu wa CCM Wilaya ya Moshi Mjini akimkaribisha Balozi Amina mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ofisi za CCM Mkoani Kilimanjaro.
Mama karibu......
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro akimkaribisha Balozi Amina , Mkoani hapo.
Wazee nao hawakuwa nyuma kusubiri kusikia......
Wadhamini wakionyesha kufurahishwa na sera za Balozi Amina.
Wanachama na wadhamini wa Balozi Amina wakifuatilia hotuba yake kwa makini.
Balozi Amina akiongea na umati wa akina mama waliojitokeza kwa wingi kumuunga mkono mwanamke mwenzao , katika ukumbi wa CCM mkoani Kilimanjaro.
Waandishi wa habari waimuuliza maswali Balozi Amina Salum Ali , mara baada ya kuongea na wadhamini waliojitokeza katika Ofisi za CCM Mkoani Kilimanjaro.