Home » » Mwenyekiti wa Shirikisho la vyuo Vikuu Ndg Ridhwani Ridhwani atua Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.

Mwenyekiti wa Shirikisho la vyuo Vikuu Ndg Ridhwani Ridhwani atua Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.

Written By CCMdijitali on Tuesday, June 23, 2015 | June 23, 2015

Mwenyekiti wa Shirikisho la vyuo Vikuu Ndg Ridhwani Ridhwani akiwa katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha leo.
Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Ndg Ridhwani Ridhwani (kulia mwenye shati jeupe ) akiwa na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua ,mara baada ya kuwasili  katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha leo.
Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Ndg Ridhwani Ridhwani akiwa katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na uenezi CCM Wilaya ya Arusha leo,akiongozana na Katibu wa tawi la Chuo Kikuu cha Mount Meru.
Mwenyekiti wa Shirikisho la vyuo Vikuu Ndg Ridhwani Ridhwani akiwa katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na uenezi CCM Wilaya ya Arusha leo.
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link