Awataka akina Mama kujitokeza na kujiandikisha kwa wingi
Awataka wajitokeze kugombea nafasi mbalimbali
Asema Arusha bila vurugu inawezekana
Mbunge wa Viti Maalum kupitia UVCCM Mkoa wa Arusha Bi Catherine Magige baada ya ziara katika Mtaa wa NMC leo ya kukutana na akina mama Wajasiriamali ,waliomualika ili kuelezea changamoto wanazokumbana nazo,akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Shirikisho la Vyuo Vikuu (aliyevaa kanzu) ni Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Mkoa wa Arusha Ndg Ridhwani Ridhwani akiwa amengozana na Katibu wake Ndg Abdulrazak Juma (kushoto)
Mbunge wa Viti Maalum kupitia UVCCM Mkoa wa Arusha Bi Catherine Magige akiwa katika Mtaa wa Samunge leo akiongea na akina mama Wajasiriamali ,waliomualika ili kuelezea changamoto wanazokumbana nazo.
Baadhi ya wananchi wakimkiliza Mh mbunge wa Viti Maalum Bi Catherine Magige alipokuwa anakutana na baadhi wakina mama wajasiriamali wa Soko la NMC ,Jijini Arusha leo.
Mbunge wa Viti Maalum kupitia UVCCM Mkoa wa Arusha Bi Catherine Magige akiwa katika Mtaa wa NMC leo akisitizia jambo wakati akiongea na akina mama Wajasiriamali ,waliomualika ili kuelezea changamoto wanazokumbana nazo.