Home » » MNEC wa jimbo la Arusha awafunda watia nia ya Ubunge Jimbo la Arusha.

MNEC wa jimbo la Arusha awafunda watia nia ya Ubunge Jimbo la Arusha.

Written By CCMdijitali on Friday, July 3, 2015 | July 03, 2015

  •  Awataka kushikamana,

  • Kuacha kauli za kuchafuana, kwani wao ni wamoja,

  • Kuacha kazi ya kutengeneza Madiwani,

  • Kila mwanachama wa CCM ana haki ya kugombea kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Chama,bila kujali  jinsia,umri,nk.

  • Awaasa kuachana kutozungumzia Ukabila,Udini nk.

 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndg Godfrey Mwalusamba (kushoto) akiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Feruzi Bano katika kikao cha watia nia wa CCM Jimbo la Arusha leo, katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.
 Baadhi ya watia nia ya Ubunge wa Jimbo la Arusha (kushoto - kulia) ni Ndg Michael A. Sekajingo,Ndg Deo Mtui ,wote hawa wawili waliwahi kugombea nafasi Ubunge  mwaka 2010 lakini bahati haikuwa upande wao, na hivyo Bi Batilda Buriani kuibuka mshindi katika mbio hizo katika CCM na Ndg Mosses Mwizarubi wakiwa katika kikao kilichosimamiwa na MNEC wa Jimbo la Arusha
Baadhi ya watia nia ya Ubunge wa Jimbo la Arusha (kushoto - kulia) ni Ndg Weraufoo E. Munisi kwa jina maarufu Thomas Munisi , Ndg Philemon Mollel kwa jina maarufu Monaban na Ndg Mustafa Panju kwa jina maarufu Bushbuck wakiwa katika kikao kilichowakutanisha na baadhi ya viongozi wakuu wa CCM Wilaya ya Arusha ,Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli, Katibu wa CCM Wilaya Ndg Bano na Katibu wa Siasa na Uenezi Ndg Kishumbua ,mgeni rasmi akiwa ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Godfrey Mwalusamba.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Godfrey Mwalusamba akiongea na watia nia hao katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha leo.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Godfrey Mwalusamba akisisitiza jambo katika kikao na watia nia hao katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha leo.
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link