Waonyesha mshikamano wa hali ya juu.
Wamaliza ngwe ya kwanza leo.
Mkutano wa Kampeni kwa ajili ya kura za maoni ukiendelea rasmi leo 20/07/2015 kama ilivyoelekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kata ya Olasiti.
Baadhi ya Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa katika Mkutano wa Kampeni kwa ajili ya kura za maoni uliokuwa unafanyika leo 20/07/2015 kama ilivyoelekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kata ya Olasiti.
Kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi Wilayani Arusha Ndg Jumapili akifuatilia Mkutano wa Kampeni kwa ajili ya kura za wakati ukiendelea rasmi leo 20/07/2015 kama ilivyoelekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kata ya Olasiti.
Baadhi ya Wagombea wakiteta jambo katika Mkutano wa Kampeni kwa ajili ya kura za maoni uliokuwa unaendelea leo 20/07/2015 kama ilivyoelekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kata ya Olasiti.
Baadhi ya Wagombea wakifuatilia sera za mmoja wa wagombea katika Mkutano wa Kampeni kwa ajili ya kura za maoni uliokuwa unaendelea leo 20/07/2015 kama ilivyoelekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kata ya Olasiti.
Wakili maarufu Jijini Arusha Ndg Edmund R ngemela akitoa sera katika Mkutano wa Kampeni kwa ajili ya kura za maoni uliokuwa unaendelea leo 20/07/2015 kama ilivyoelekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kata ya Olasiti.
Ndg Mosses Mwizarubi au kwa jina maarufu Dr Mwiza au Nabii Mwiza aliyeshika tama akiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi Wilayani Arusha Ndg Feruzi Bano katika Mkutano wa Kampeni kwa ajili ya kura za maoni zilizoanza rasmi leo 20/07/2015 kama ilivyoelekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika Kata ya Olmot.
Ndg Justin Nyari na mfanya biashara maarufu Jijini Arusha katika Mkutano wa Kampeni kwa ajili ya kura za maoni zilizoanza rasmi leo 20/07/2015 kama ilivyoelekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika Kata ya Olmot.
Makada wa Chama Cha Mapinduzi wakifuatilia Mkutano wa Kampeni kwa ajili ya kura za maoni zilizoanza rasmi leo 20/07/2015 kama ilivyoelekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika Kata ya Olmot.
Ndg Justin Nyari na mfanya biashara maarufu Jijini Arusha akielezea Wanachama wa CCM ,atakachowafanyia iwapo atapata fursa ya kupeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi katika Mkutano wa Kampeni kwa ajili ya kura za maoni zilizoanza rasmi leo 20/07/2015 kama ilivyoelekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika Kata ya Olmot.
Ndg Philemon Mollel au kwa jina maarufu Monaban au Mzee wa Unga
akiwa na Ndg Werango E Munisi au kwa jina maarufu Thomasi Munis katika
Mkutano wa Kampeni kwa ajili ya kura za maoni zilizoanza rasmi leo
20/07/2015 kama ilivyoelekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika
Kata ya Olmot.
Ndg Mosses Mwizarubi au kwa jina maarufu Dr Mwiza au Nabii Mwiza (kulia)
akiwa na Ndg Emmanuel S Olenjoro katika
Mkutano wa Kampeni kwa ajili ya kura za maoni zilizoanza rasmi leo
20/07/2015 kama ilivyoelekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika
Kata ya Olmot.
Alhaji Hamisi Saidi akiwa na Mwenyekiti wa Serekali ya Mtaa wa Oysterbay Kata ya Unga Ltd Ndg Mahmoud S Omary katika Mkutano wa Kampeni kwa ajili ya kura za maoni zilizoanza rasmi leo 20/07/2015 kama ilivyoelekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika Kata ya Olmot.
Mfanyabiashara maarufu Jijini Arusha na Mkurugenzi wa Kampuni ya Utalii ya Bush Buck Safaris Ndg Mustapha Panju katika Mkutano wa Kampeni kwa ajili ya kura za maoni zilizoanza rasmi leo 20/07/2015 kama ilivyoelekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika Kata ya Olmot.
Mashabiki na wakereketwa wa Chama Cha Mapinduzi.
Mwandishi maarufu Jijini Arusha Ndg Ngilisho akiwa na Kada maarufu Jijini Arusha ajulikanaye kwa jina la Majeshi wakifuatilia kwa makini Mkutano wa Kampeni kwa ajili ya kura za maoni zilizoanza rasmi leo 20/07/2015 kama ilivyoelekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika Kata ya Olmot.
Baadhi ya Wanachama wa CCM wakifuatilia kwa makini Mkutano wa Kampeni kwa ajili ya kura za maoni zilizoanza rasmi leo 20/07/2015 kama ilivyoelekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika Kata ya Olmot.
Picha na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.