Home » » Waomba Ubunge wa Jimbo la Arusha waanza rasmi Mikutano ya Kampeni katika Kata ya Olmot leo.

Waomba Ubunge wa Jimbo la Arusha waanza rasmi Mikutano ya Kampeni katika Kata ya Olmot leo.

Written By CCMdijitali on Monday, July 20, 2015 | July 20, 2015

Mikutano ya Kampeni kwa ajili ya kura za maoni zaanza rasmi leo 20/07/2015 kama ilivyoelekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa  katika Kata za :
  • Olmot

  • Olasiti

  • Osunyai

    Katika Kata ya Olmot mambo yalikuwa hivi;

 
Waomba Ubunge wa Jimbo la Arusha wakiwa katika Kata Olmot tayari kwa kuanza  Mkutano wa Kampeni kwa ajili ya kura za maoni zilizoanza rasmi leo 20/07/2015 kama ilivyoelekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa  katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha .
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link