- Baadhi ya watangaza nia leo waliorudisha fomu ni 3 jumla wafikia 6.
- Idadi ya waliochukua fomu yafikia 13
- Justin Nyari achukua kimya kimya
- Kata zote zapata waombaji wa Udiwani
Mkufunzi wa Chuo Kikuu cha Mount Meru cha Jijini Arusha Ndg Andrew Lyimo akiwasilisha fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi kwa Katibu wa Msaidizi wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Elia.
Mkufunzi wa Chuo Kikuu cha Mount Meru cha Jijini Arusha Ndg Andrew Lyimo akiwa na baadhi ya viongozi wa UWT waliokuja kuchukua fomu kupitia Jumuiya hiyo kwa Viti Maalum mara baada ya kuwasilisha fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi kwa Katibu Msaidizi wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Elia.
Mfanya biashara maarufu wa Jijini Arusha Ndg Werango E. Munisi kwa jina maarufu Thomasi akiwasilisha fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Feruzi Bano.
Mfanya biashara maarufu wa Jijini Arusha Ndg Werango E. Munisi kwa jina maarufu Thomasi akisalimiana na Baba Askofu Mwezarubi (Baba mzazi wa mtia nia Ndg Mosses) mara baada kuwasilisha fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi .
Mfanya biashara maarufu wa Jijini Arusha Ndg Werango E. Munisi kwa jina maarufu Thomasi akisalimiana na mdogo wake mtia nia Ndg Mosses mara baada kuwasilisha fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi .
Mfanya biashara maarufu wa Jijini Arusha Ndg Werango E. Munisi kwa jina maarufu Thomasi akisalimiana na Ndg Mosses Mwezarubi (mmoja wa waliochukua fomu) mara baada kuwasilisha fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi .
Ndg Mosses Mwizarubi akiwasilisha fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi kwa
Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Bano .
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akiwa tayari kuwahudumia wanachana wa CCM leo katika Ofisi za CCM Wilayani Arusha ,akiwa katika vazi rasmi linaloendana na siku ya leo.
Ndg Mosses Mwizarubi mara baada ya kuwasilisha fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi akiwa katika picha na Wazazi wake,Mke wake, mdogo wake na Bi babla katibu wa UWT kata ya Kati Jijini Arusha.
Ndg Justin Nyari aliyechukua fomu ya kuomba kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha kimya kimya katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , akiongea na waandishi wa habari kutoka kituo maarufu cha Jijini Arusha kijulikanacho kwa jina Milan Cable.
Waandishi wa habari kutoka kituo maarufu cha Jijini Arusha kijulikanacho kwa jina Milan Cable wakiongea Ndg Justin Nyari katika Ofisi za Chama Cha mapinduzi Wilaya ya Arusha jana 17/07/2015
Picha na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua