Home » » WATANGAZA NIA CCM WILAYA YA ARUSHA MJINI WACHUKUA FOMU

WATANGAZA NIA CCM WILAYA YA ARUSHA MJINI WACHUKUA FOMU

Written By CCMdijitali on Thursday, July 16, 2015 | July 16, 2015

  • Jumla ya Wanachama waliojitokeza kuchukua fomu kwa nafasi ya Ubunge wafikia tisa leo.

  • Kata 19 tayari wameshachukua fomu.

  • Katibu awataka kuzingatia Kanuni na Katiba ya CCM

    • Wamo Wafanyabiashara,Wasomi na Mawakili wa kujitegemea 

Wakili wa kujitegemea Edmund Ngemela akipokea fomu za kuomba Ubunge Jimbo la Arusha Mjini leo kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya Arusha Ndg Bano, katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha


Wakili wa kujitegemea Jini Arusha Edmund Ngemela akiongea na baadhi ya Wanachama wa CCM mara baada ya kuchukua  fomu za kuomba Ubunge Jimbo la Arusha Mjini jana 15/07/2015 , katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha

Baadhi ya waandishi wa habari wakipewa taarifa za zoezi la uchukuaji fomu za Ubunge Wilaya ya Arusha Mjini .

Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Bano akiandika stakabadhi kwa mmoja wa Wanachama waliojitokeza kuchukua fomu katika Ofisis za CCM Wilaya ya Arusha mjini jana 16/07/2015.
Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Mjini Ndg Bano akimkabidhi Ndg Mahmoud S. Omary fomu ya kuomba ridhaa Wanachama wa CCM kumpa ridhaa ya kupeperusha bendera ya CCM Wilayani Arusha jna 15/07/2015.

Ndg Mosses Mwizarubi akipokea fomu ya kuomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha mjini, mara baada ya kukamilisha taratibu, kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Bano leo.

Ndg Mosses Mwizarubi katika picha na mke wake mara baada kukabidhiwa  fomu ya kuomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha mjini, mara baada ya kukamilisha taratibu,  leo

Wazazi wa  Mosses Mwizarubi wakiwa katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha .

Ndg swalehe Kiluvia akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha leo.

Mosses Mwizarubi akiongea na waandishi wa habari katika viwanja vya CCM Wilaya ya Arusha leo.

Wazazi wa Mosses Mwizarubi na mdogo wake wakimsikiliza Ndg Mosses Mwizarubi ,alipokuwa akiongea na waandishi wa habari leo, katika viwanja vya CCM Wilaya ya Arusha .

Waandishi wa habari wakifuatilia zoezi la uchukuaji fomu za Ubunge na Udiwani Wilayani Arusha leo.

Ndg Swalehe Kiluvia akipata mawaidha kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha leo.

Waandishi wa habari wakifuatilia zoezi la uchukuaji fomu za Ubunge na Udiwani Wilayani Arusha leo.

Ndg Swalehe Kiluvia  akipokea fomu ya Chama Cha Mapinduzi kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Bano, mara baada kukamilisha taratibu za uchukuaji fomu leo.

Ndg Victor Njau akiwasili katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha mjini tayari kwa kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM kwa nafasi Ubunge Wilayani hapo.


Ndg Victor Njau akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilyani Arusha leo.




Ndg Victor Njau akipokea fomu ya kuomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM kwa nafasi ya Ubunge Wilayani hapo leo.












Ndg Emmanuel S. Olenjoro akisaini kitabu cha wageni katika Ofisisi za Chama Cha Mapinduzi Wilayani Arusha leo.
Ndg Andrew Lyimo akisaini kitabu cha wageni katika Ofisisi za Chama Cha Mapinduzi Wilayani arusha leo.












Ndg Hamisi Saidi akipokea fomu ya kuomba ridha ya kuteuliwa kupeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi ,katika Ofisi za CCM Wilaya ya arusha leo.


Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha akiwa katika Ofisi za UWT Wilaya Arusha leo.



Ndg Ritha aliyefika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha kujionea baadhi ya wanachama waliojitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la arusha Mjini leo.
Ndg Victor Njau akiongea na baadhi ya wanachama waliomsindikiza kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM leo.


Ndg Victor Njau akiongea na baadhi ya wanachama waliomsindikiza kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM leo.





Pikipiki za baadhi ya Wanachama na wapenzi wa Ndg Victor Njau waliokuwa wameambatana naye kuchukua fomu  za kuomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha leo.

Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha akiongea na mashabiki na wapenzi wa Ndg Victor Njau mara baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha leo.


Ndg Victor Njau akiongea na baadhi ya wanachama waliomsindikiza kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM leo.

Wanachama waliojitokeza kumsindikiza Ndg Victor Njau wakiwa katika viwanja vya CCM Wilaya ya Arusha leo.


Ndg Werango E. Munisi kwa jina maarufu Thomasi akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha leo, alikokwenda kuchukua fomu za kuomba Ubunge Jimbo la Arusha Mjini .
Waandishi wa habari wakifuatilia jambo wakati Ndg Thomasi akichukua  fomu za kuomba Ubunge Jimbo la Arusha Mjini leo, katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha.
 


Ndg Werango E Munisi kwa jina maarufu Thomasi akipokea fomu za kuomba Ubunge Jimbo la Arusha Mjini leo kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya Arusha Ndg Bano, katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha.

Ndg Werango E Munisi kwa jina maarufu Thomasi akitoa neno la shukrani mara baada ya kukabidhiwa  fomu za kuomba Ubunge Jimbo la Arusha Mjini leo, katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha.

Waandishi wa habari wakifuatilia jambo wakati Ndg Thomasi akichukua  fomu za kuomba Ubunge Jimbo la Arusha Mjini leo, katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha.

 Ndg Werango E Munisi kwa jina maarufu Thomasi akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kuchukua fomu za kuomba Ubunge Jimbo la Arusha Mjini leo, katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha.

Ndg Werango E Munisi kwa jina maarufu Thomasi akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kuchukua fomu za kuomba Ubunge Jimbo la Arusha Mjini leo, katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha.

Ndg Majeshi akiwa katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha mjini leo.
Ndg Werango E Munisi kwa jina maarufu Thomasi mara baada ya kuchukua fomu za kuomba Ubunge Jimbo la Arusha Mjini leo, katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha.



Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Bano akiwa na  Ndg Werango E Munisi kwa jina maarufu Thomasi mara baada ya kuchukua fomu za kuomba Ubunge Jimbo la Arusha Mjini leo, katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha.
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link