Home » » Mustapha Panju achukua fomu ya kuomba kugombea Ubunge (CCM) Arusha.

Mustapha Panju achukua fomu ya kuomba kugombea Ubunge (CCM) Arusha.

Written By CCMdijitali on Friday, July 17, 2015 | July 17, 2015

Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha achukua fomu ya kuomba Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha.

Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju akilipa malipo ya  fomu ya kuomba Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha.
Kushoto ni Ndg Kassim Mamboleo,Waandishi wa habari na baadhi ya wanafamilia ya mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju alipokwenda kuchukua   fomu ya kuomba Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha.
Mwanahabari maarufu Jijini Arusha kwa jina maarufu Ngilisho naye hakuwa mbalin kushuhudia tukio hilo la Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju akichukua  fomu ya kuomba Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha.
Baadhi ya Waandishi wa habari, baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni maarufu ya Utalii Jijini Arusha ijulikanayo kwa jina la Bush Buck Safaris na baadhi ya wanafamilia ya Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju wakishuhudia tendo la kuchukua  fomu ya kuomba Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha.

Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju akipokea  fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Bano, mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi.

Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju akiongea na waandishi wa habari mara baada kuchukua  fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha.

Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg jasper Kishumbua akiwa na Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju mara baada kuchukua  fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha.
 Ndg ,Jamaa na marafiki wa mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju waliomsindikiza kuchukua fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha, mara baada ya kukabidhiwa wakipata picha ya ukumbusho
Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panjua akionyesha fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha, mara baada ya kukabidhiwa .

Ndg ,Jamaa na marafiki wa mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju waliomsindikiza kuchukua fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha, mara baada ya kukabidhiwa .

Ndg ,Jamaa na marafiki wa mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju waliomsindikiza kuchukua fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha, mara baada ya kukabidhiwa wakipata picha ya ukumbusho .
Ndg ,Jamaa na marafiki wa mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju waliomsindikiza kuchukua fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha, mara baada ya kukabidhiwa wakipata picha ya ukumbusho

Ndg ,Jamaa na marafiki wa mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju waliomsindikiza kuchukua fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha, mara baada ya kukabidhiwa wakipata picha ya ukumbusho .
Ndg ,Jamaa na marafiki wa mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju waliomsindikiza kuchukua fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha, mara baada ya kukabidhiwa wakipata picha ya ukumbusho
Ndg ,Jamaa na marafiki wa mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju waliomsindikiza kuchukua fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha, mara baada ya kukabidhiwa wakipata picha ya ukumbusho
Ndg ,Jamaa na marafiki wa mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju waliomsindikiza kuchukua fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha, mara baada ya kukabidhiwa wakipata picha ya ukumbusho
Baadhi ya Waandishi wa habari Jini Arusha.

Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju akipokea  fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Bano, mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi.
Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju akiongea na waandishi wa habari mara baada kuchukua  fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha.
Picha na Katibu wa Siasa na Uenezi Jijini Arusha - Jasper Kishumbua
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link