Viongozi wakimsubiri Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM awasili katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam kuzindua rasmi kampeni za Urais
Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikweye akiwasili katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam kuzindua rasmi kampeni za Urais.
Nyomi ikilipuka wakati Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikweye akiwasili katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam kuzindua rasmi kampeni za Urais.
Nyomi ikilipuka wakati Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikweye akiwasili katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam kuzindua rasmi kampeni za Urais.
Wasanii wakitumbuiza
Sehemu ya nyomi ya CCM Jangwani.
Nape Nnauye akiweka mambo sawa.
Wake wa viongozi.
Nyomi
Nyomi balaa......
Yamoto Band wakipasha moto
Meza kuu
Ni raha sanaaaaaaa....
Viongozi wa CCM
Dah!
Raha tupu
Bushoke na kundi lake
Kiongozi wa wafanya biashara ndogo ndogo masokoni akinena.
Nyomi ikisikiliza
Kiongozi wa waendesha bodaboda akieleza mambo yao
Nyomi
Mwakilishi wa walemavu akisalimia meza kuu.
Mhe Shyrose Bhanji akirekodi
Wanahabari
Makongoro Nyerere akisalimia meza kuu
Makongoro Nyerere akisalimiana na Mzee Yusuf Makamba
Viongozi wastaafu
Jaji Joseph Sinde Warioba akielekea jukwaani kwa vifijo
Jaji Joseph Sinde Warioba akiinadi ilani ya uchaguzi
Jaji Warioba akisalimia meza kuu
Makamu wa Mwenyekiti wa CCM na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein Akielekea jukwaani kusalimia nyomi.