Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli
akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini Mpanda,
mkoani Katavi.
Waziri
Mkuu MizengO Pinda akimtambulisha Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi (CCM)
Dkt John Pombe Magufuli mbele ya umati wa watu waliofurika jioni ya leo kwenye
uwanja wa Azimio mjini MPanda mkoani Katavi wakati wa muendelezo wa kampeni za
chama hicho mkoani humo leo.Chama cha CCM kimezindua kampeni zake jana katika
viwanja vya Jangwani jijini Dar na kuhudhuriwa na maelfu ya wanachama na
wakereketwa wa chama hicho cha CCM
Wananchi
wakishangilia wakati Waziri Mkuu Pinda
alipokuwa akimnadi Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja
wa Azimio mjini Mpanda, mkoani Katavi.
Sehemu ya umati wa
watu waliokuwa wamefurika leo katika uwanja wa Azimio mjini MPanda
wakimsikiliza kwa makini Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
Jonh Pombe Magufuli kupitia chama cha CCM,mkoani Katavi.
Sehemu
ya umati wa watu waliokuwa wamefurika leo katika uwanja wa Azimio mjini MPanda
wakimsikiliza kwa makini Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
Jonh Pombe Magufuli kupitia chama cha CCM,mkoani Katavi.
Waziri Mkuu Pinda akimuelekeza jambo Mgombea Urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokwenda
kuwahutubia wananchi wa Mpanda mjini kwenye kutano wa kampeni mkoani Katavi.
Sehemu
ya umati wa Wananchi wa kata ya Mishamo,wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa
kampeni,wilayani Mpanda mkoani Katavi.