Home » » MGOMBEA MWENZA CCM SAMIA SULUHU HASSAN AANZA KAMPENI KILIMANJARO

MGOMBEA MWENZA CCM SAMIA SULUHU HASSAN AANZA KAMPENI KILIMANJARO

Written By CCMdijitali on Monday, August 24, 2015 | August 24, 2015


 Mama Samia Suluhu akiwasili uwanja wa mikutano Shule ya Msingi Hedalu
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akilakiwa na wananchi baada ya kuwasili Ofsi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Samia Suluhu Hassan, akimtazama mtoto, alipokagua Kituo cha Afya cha Hedalu wilayani Same mkoani Kilimanjaro.
 Mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akivishwa skafu na Kijana wa CCM baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro.
 Mama Suluhu Hassan akisani kitabu baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro. Kulia ni Mohammed Juma, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika Uwanja wa Shule ya Msingi Hedaru, wilayani Same mkoani Kilimanjaro. Picha zote na Bashir Nkoromo, Same
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link