Home » » Msafara wa Mgombea Mwenza wa CCM Bi. Samia Othuman Suluhu akiwa Monduli.

Msafara wa Mgombea Mwenza wa CCM Bi. Samia Othuman Suluhu akiwa Monduli.

Written By CCMdijitali on Saturday, August 29, 2015 | August 29, 2015

  Mgombea Mwenza wa CCM Bi. Samia Othuman Suluhu , akiongea na Wananchi waliojitokeza kwa mamia katika Mkutano wa hadhara Mto wa Mbu,Wilayani Monduli.Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.

Mgombea huyo mwenza wa CCM katika mkutano wa hadhara katika Jimbo Monduli aliwaomba wanaMonduli kumpigia kura ya ndio mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli ili aweze kutekeleza ilani ya chama hicho ambayo pia imejumuisha ujenzi wa barabara ya Sanya Juu hadi Longido na Longido hadi Mto wa Mbu wilayani Longido. 

 Aliwaomba wanaMonduli kumchagua mgombea ubungw wa Jimbo la Monduli kwa tiketi ya CCM,
 Bi. Namelok Sokoine kwani mgombea huyo anarekodi na historia nzuri ya utendaji kama alivyokuwa babayake marehemu, Edward Moringe Sokoine. Aliwaomba pia kuwachagua madiwani wa CCM ili waweze kufanya kazi kwa ushirikiano kama timu. 

Mgombea Mwenza wa CCM Bi. Samia Othuman Suluhu , mara baada ya kuwasili katika eneo la Mkutano Mto wa Mbu Wilayani Monduli.Pichani ni Mbunge mteule wa CCM Bi Namelock Sokoine na Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala.  Mkutano huo ulihudhuriwa na mamia ya wananchi,Wilayani Monduli.Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua
Mgombea Mwenza wa CCM Bi. Samia Othuman Suluhu , mara baada ya kuwasili katika eneo la Mkutano Mto wa Mbu Wilayani Monduli akisalimiana na akina Mama wa kabila la Kimasai.Pichani ni Mbunge mteule wa CCM Bi Namelock Sokoine . Mkutano huo ulihudhuriwa na mamia ya wananchi,Wilayani Monduli.Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.

Mgombea Mwenza wa CCM Bi. Samia Othuman Suluhu ,akivishwa nguo za jadi kwa  heshima ya kabila la Kimasai, kuonyesha wamempokea na kumkubali kama mama wa heshima , mara baada ya kuwasili katika eneo la Mkutano Mto wa Mbu Wilayani Monduli.Pichani ni Mbunge mteule wa CCM Bi Namelock Sokoine akimvisha nguo za mila kwa niaba ya akina mama wa Kimasai. Mkutano huo ulihudhuriwa na mamia ya wananchi,Wilayani Monduli.Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.

Mgombea Mwenza wa CCM Bi. Samia Othuman Suluhu , mara baada ya kuwasili katika eneo la Mkutano Mto wa Mbu Wilayani Monduli akisalimiana na bbadhi ya viongozi wa Wilaya na Kata.Pichani ni Mbunge mteule wa CCM Bi Namelock Sokoine . Mkutano huo ulihudhuriwa na mamia ya wananchi,Wilayani Monduli.Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.

Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link