Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi waliojitokeza kwenye Mkutano uliofanyika katika Kijiji cah Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan akiongea na wananchi waliojitokeza kwenye Mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akiwasikiliza akinamama wakimuelezea kero ya maji baada ya kumsimamisha na kumpa kero hizo Jimboni Longido.
Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya Urais, Bi. Samia Suluhu akiwasikiliza akina mama wakimuelezea kero ya maji baada ya kumsimamisha na kumpa kero hizo Jimboni Longido.
Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akiwasikiliza akinamama wakimuelezea kero ya maji baada ya kumsimamisha na kumpa kero hizo Jimboni Longido.
WANAWAKE wa Wilayani Longido wamemsimamisha Mgombea Mwenza wa Urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu njiani akielekea jukaani kuhutubia wananchi wakimlilia kuwatatulia kero ya maji katika Kata ya Longido ambapo kila familia imekuwa ikipata huduma hiyo mara moja kwa wiki hali ambayo wamesema haikidhi mahitaji.
Bi. Samia alilazimika kusimama eneo ambalo wanawake walikuwa wamefurika wakichota maji kwa zamu huku kila familia ikipewa idadi ya ndoo kumi mara moja kwa kila wiki kiwango ambacho akinamama wengi walisema akikidhi mahitaji kwa familia zao.
Mgombea huyo wa CCM aliwahakikishia akinamama hao kuwa yeye kama mwanamke anajua shida ya maji inavyowatesa akinamama katika familia ikiwa huduma hiyo inapokuwa tatizo katika upatikanaji wake, hivyo atalisimamia suala hilo.
Alisema Serikali ya CCM itakapoingia madarakani imetenga shilingi bilioni 13 kwa ajili ya kupeleka maji eneo la Longido mradi ambao utamaliza kero ya maji eneo hilo.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara Longido Bi. Suluhu alisema kwa kuwawezesha wafugaji wa eneo hilo wamepanga kujenga mabwawa ya kuvuna na kuhifadhi maji kwa ajili ya matumizi ya nyakati za ukame kwa baadhi ya maeneo, ikiwa ni pamoja na kujenga majosho ya mifugo na kuwezesha madawa ya mifugo kwa wafugaji ili kuwaendeleza.
Alisema akiwa njiani katika mikutano ya kampeni zake ameshuhudia uwepo wa ukame katika vijiji lakini anawahakikishia hakuna mwananchi ambaye atakufa na njaa endapo hali hiyo ya ukame itaendelea, kwani serikali ya CCM katika ghala la chakula ina akiba ya kutosha.
Na Joachim Mushi, Longido
WANAWAKE wa Wilayani Longido wamemsimamisha Mgombea Mwenza wa Urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu njiani akielekea jukaani kuhutubia wananchi wakimlilia kuwatatulia kero ya maji katika Kata ya Longido ambapo kila familia imekuwa ikipata huduma hiyo mara moja kwa wiki hali ambayo wamesema haikidhi mahitaji.
Bi. Samia alilazimika kusimama eneo ambalo wanawake walikuwa wamefurika wakichota maji kwa zamu huku kila familia ikipewa idadi ya ndoo kumi mara moja kwa kila wiki kiwango ambacho akinamama wengi walisema akikidhi mahitaji kwa familia zao.
Mgombea huyo wa CCM aliwahakikishia akinamama hao kuwa yeye kama mwanamke anajua shida ya maji inavyowatesa akinamama katika familia ikiwa huduma hiyo inapokuwa tatizo katika upatikanaji wake, hivyo atalisimamia suala hilo.
Alisema Serikali ya CCM itakapoingia madarakani imetenga shilingi bilioni 13 kwa ajili ya kupeleka maji eneo la Longido mradi ambao utamaliza kero ya maji eneo hilo.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara Longido Bi. Suluhu alisema kwa kuwawezesha wafugaji wa eneo hilo wamepanga kujenga mabwawa ya kuvuna na kuhifadhi maji kwa ajili ya matumizi ya nyakati za ukame kwa baadhi ya maeneo, ikiwa ni pamoja na kujenga majosho ya mifugo na kuwezesha madawa ya mifugo kwa wafugaji ili kuwaendeleza.
"...Kazi hii tutaifanya ndani ya kipindi kifupi mara tu baada ya kufanikiwa kurudi madarakani, Serikali inayomaliza muda wake imefanya mengi na sisi tutaendeleza na kuboresha zaidi. Alisema wanajua kilio cha mahakama katika wilaya ya Longido hivyo mara baada ya kuingia madarakani wataijenga.
Alisema akiwa njiani katika mikutano ya kampeni zake ameshuhudia uwepo wa ukame katika vijiji lakini anawahakikishia hakuna mwananchi ambaye atakufa na njaa endapo hali hiyo ya ukame itaendelea, kwani serikali ya CCM katika ghala la chakula ina akiba ya kutosha.
Msafara wa Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan ukielekea katika Kijiji cah Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Baadhi ya Viongozi waliongozana na Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan wakiwa kwenye mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido,Bi Catherine Magige (Mbunge Mteule wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, kupitia UWT na Bi Esther Mambali, Wilayani Longido,Mkoani Arusha.
Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Baadhi ya Viongozi walioongozana na Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan wakiwa kwenye mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido,Ndg Godfrey Mwalusamba na Mzee Lekule Laizer wote wakiwa ni Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa Wilaya ya Arusha na Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Baadhi ya wanaCCM na wananchi wa Kijiji cha Longido wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza nafasi ya urais wa CCM, Bi. Samia Suluhu.
Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Meru Magharibi Bi Esther Maleko akiwasalimia wananchi waliojitokeza kwenye mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Baadhi ya Viongozi walioongozana na Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan katika meza kuu,Bi Ummy Mwalimu Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mgombea Ubunge Jimbo la Longido Dk Steven Lemomo,Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala na Mbunge mstaafu Mzee Lekule Laiser, kwenye mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Shairi likisomwa kwa mgeni rasmi.
CCM oyeeeeeeee !!!
Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Meru Magharibi Bi Esther Maleko kwenye mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Mke wa Mgombea Ubunge jimbo la Longido Dk Steven Lemomo, kwenye mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Mgombea Udiwani Viti Maalum, Tarafa ya Inaboishu, Wilaya ya Meru Magharibi Bi Anna Msuya akiwa na Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Meru Magharibi Bi Esther Maleko, kwenye mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Hongera sana kwa shairi lako !!
Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan akimshukuru msoma shairi, kwenye Mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya longido Bi Eusaphat Naikara akiongea na wananchi waliojitokeza kwenye Mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Katibu Mkuu wa UWT Taifa Bi Makilagi akimtambulisha Mke wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha ( Ndg Onesmo Nagole ,aliyekimbia nyumba) Bi Helena Onesmo Nangole kwa wananchi waliojitokeza kwenye Mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Bi Ummy Mwalimu Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria,akiwasalimia wananchi kwenye mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Meza kuu.
Mkuu wa Wilaya ya Longido akiwasalimia wananchi kwenye mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Mke wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha ( Ndg Onesmo Nagole ,aliyekimbia nyumba) Bi Helena Onesmo Nangole akiwasalimia wananchi waliojitokeza kwenye Mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Mbunge mstaafu Mzee Lekule Laiser,akiongea na wananchi waliojitokeza kwenye Mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Mbunge mstaafu Mzee Lekule Laiser akimtambulisha Mgombea Ubunge jimbo la Longido Dk Steven Lemomo,kwa wananchi waliojitokeza kwenye Mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala akiwasalimia wananchi kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, kwenye mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Arusha Bi Zelote , kwenye mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Baadhi ya Wananchi waliohudhuria, kwenye mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Bi Wanu Ameir katika tabasamu na wakina mama , kwenye mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya yaArusha Ndg Jasper Kishumbua katika picha na akina mama , kwenye mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Mgombea Ubunge jimbo la Longido Dk Steven Lemomo akimtambulisha Mgombea Udiwani Kata ya Longido Ndg Thomasi Ngobeye,kwa wananchi waliojitokeza kwenye Mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Mgombea Udiwani Kata ya Longido Ndg Thomasi Ngobeye,akiongea na wananchi waliojitokeza kwenye Mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan akimsalimia Mwalimu Paulina Kundaeli , kwenye Mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi ,Bi Samia Suluhu Hassan akimshukuru mmoja wa Wanachama aliyehama Chadema na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi, kwenye Mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Longido, Wilayani Longido,Mkoani Arusha. Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.
Baadhi ya Wanachama wa CCM wakipunga mikono ya Safari njema , mara baada ya kumaliza mkutano na Wananchi wa Kijiji cha longido, Wilayani Longido. Pichani ni Katibu wa CCM Wilaya ya Longido Bi Eusaphati Naikara.
Baada ya mkutano, safari ya kuelekea Monduli ikaanza.