Home » » Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha (CCM ) apokelewa kwa kishindo Kata ya Sokon I

Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha (CCM ) apokelewa kwa kishindo Kata ya Sokon I

Written By CCMdijitali on Tuesday, December 1, 2015 | December 01, 2015


Mgombea Ubunge ,kupitia Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha Ndg Philemon Olais Mollel, akiongea wakazi wa Kata ya Sokon I katika viwanja vya Mnara wa Voda 22/11/2015
Katibu wa CCM Wilaya ya Karatu Ndg Loth Lemeirut, akiwa katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha.
Katibu wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg jamal Khimji, akiwa katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha.



Mgombea Ubunge ,kupitia Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha Ndg Philemon Olais Mollel, akiongea wakazi wa Kata ya Sokon I katika viwanja vya Mnara wa Voda 22/11/2015
Baadhi ya viongozi wa Chama wakimsikiliza Mgombea Ubunge ,kupitia Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha Ndg Philemon Olais Mollel, akiongea wakazi wa Kata ya Sokon I katika viwanja vya Mnara wa Voda 22/11/2015
Mgombea Ubunge ,kupitia Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha Ndg Philemon Olais Mollel, akiongea wakazi wa Kata ya Sokon I katika viwanja vya Mnara wa Voda 22/11/2015
Hapa Kazi Tu ...............



Baadhi ya Wananchi wakishindwa kuficha hisia zao katika Mkutano wa  Mgombea Ubunge ,kupitia Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha Ndg Philemon Olais Mollel,wakati akiongea na  wakazi wa Kata ya Sokon I katika viwanja vya Mnara wa Voda 22/11/2015


CCM mbele kwa mbeleeeeeeeeee........

Umati wa watu waliofika katika Mkutano wa Mgombea Ubunge ,kupitia Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha Ndg Philemon Olais Mollel, akiongea wakazi wa Kata ya Sokon I katika viwanja vya Mnara wa Voda 22/11/2015




Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (aliyevaa kofia) akifuatilia mkutano wa kampeni ya Mgombea Ubunge ,kupitia Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha Ndg Philemon Olais Mollel, akiongea wakazi wa Kata ya Sokon I katika viwanja vya Mnara wa Voda 22/11/2015






Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa Ndg Godfrey Mwalusamba akifuatilia jambo katika mkutano wa Mgombea Ubunge ,kupitia Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha Ndg Philemon Olais Mollel, akiongea wakazi wa Kata ya Sokon I katika viwanja vya Mnara wa Voda 22/11/2015

Mgombea Ubunge ,kupitia Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha Ndg Philemon Olais Mollel, akisalimiana na baadhi ya  wakazi wa Kata ya Sokon I mara baada ya mkutano katika viwanja vya Mnara wa Voda 22/11/2015
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link