Home » » Mgombea Ubunge wa CCM katika Viwanja vya St Thomas ,Kata ya Kati - Arusha

Mgombea Ubunge wa CCM katika Viwanja vya St Thomas ,Kata ya Kati - Arusha

Written By CCMdijitali on Tuesday, December 8, 2015 | December 08, 2015

Kati
Baadhi ya wananchi wakisalimiana na Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN  mara baada ya mkutano wa Kampeni ya Ubunge Jijini Arusha katika Viwanja vya St Thomas, Kata ya Kati .
Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN akinadi Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwenye mkutano  wa Kampeni ya Ubunge Jijini Arusha  katika Viwanja vya St Thomas, Kata ya Kati .
Baadhi ya wananchi wakisalimiana na Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN mara baada ya mkutano wa Kampeni ya Ubunge Jijini Arusha katika Viwanja vya St Thomas, Kata ya Kati .
Team MONABAN katika picha ya pamoja.......
Ndg Bakari Msangi aliyegombea nafasi ya Udiwani Kaya ya Sombetini kwa bendera ya  Chama Cha Mapinduzi akiwa kwenye mkutano wa Kampeni ya Ubunge Kata ya Kati, kwenye Viwanja vya St Thomas,katika mkutano wa  Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN katika mkutano wa Kampeni ya Ubunge Jijini Arusha uliofanyika Viwanja vya St Thomas, Kata ya Kati .
Baadhi ya wananchi na  wanachama wa Chama Cha Mapinduzi waliojitokeza kwenye mkutano  wa Kampeni ya Ubunge Kata ya Kati, kwenye Viwanja vya St Thomas,wakimsikiliza Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN katika mkutano wa Kampeni ya Ubunge Jijini Arusha uliofanyika  Viwanja vya St Thomas, Kata ya Kati .
Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Ferooz Bano (aliyevaa shati la kijani) akifuatilia hotuba ya Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN katika mkutano wa Kampeni ya Ubunge Jijini Arusha uliofanyika Viwanja vya St Thomas, Kata ya Kati .

Hapa Kazi Tu !

Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Banoakimuombea kura Mbunge Mteule wa CCM Wilaya ya Arusha  , kwenye mkutano wa Kampeni ya Ubunge Jijini Arusha katika Viwanja vya St Thomas, Kata ya Kati .

Baadhi ya wananchi wakisalimiana na Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN mara baada ya mkutano wa Kampeni ya Ubunge Jijini Arusha katika Viwanja vya St Thomas, Kata ya Kati .
Baada ya Mkutano.......

Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN ,akiondoka kwenye mkutano wa Kampeni ya Ubunge Jijini Arusha katika Viwanja vya St Thomas, Kata ya Kati mara baada ya mkutano huo .

Hapa Kazi Tu! ....... Ndg Simba katika ubora wa viwango vyake katika gari ya matangazo
katika  mkutano wa Kampeni ya Ubunge Jijini Arusha katika Viwanja vya St Thomas, Kata ya Kati .
Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link