Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Dkt.Hamisi Kigwangalla,(kulia) akiwa kati,ka ibada maalum ya maadhimisho
ya 24 ya kuwaombea wagonjwa duniani ambayo kitaifa yamefanyika leo
mkoani humo, katika wilaya hiyo.Kulia niMkuu wa Mkoa wa Tabora, Ludovick
Mwananzila na Kwanza mbele Naibu Askofu wa Jimbo Kuu la Kanisa la
Katoliki la Tabora .
Baadhi ya wananchi wakiwa katika tukio hilo.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Dk.
Hamisi Kigwangalla (aliyekaa) akiwa katika ibada maalum ya kuombea
wagonjwa duniani iliyofanyika leo katika Hospitali ya Ndala,Nzega Mkoani
Tabora. Wengine kulia ni Rudrovic Mwananzila na kushoto kwake ni Mkuu
wa Wilaya ya Nzega, Jacqueline Liana.