Home » » Wabunge na Maseneta wa Bunge la Marekani wamuombea Rais Magufuli

Wabunge na Maseneta wa Bunge la Marekani wamuombea Rais Magufuli

Written By CCMdijitali on Saturday, February 20, 2016 | February 20, 2016


Wabunge na Maseneta wa Bunge la Marekani wakimuombea Rais Magufuli, ili aweze kufanya kazi zake vizuri walipotembelea ofisi za Spika wa Bunge kwa mazungumzo mafupi jana. Rais Magufuli siku zote amekuwa akisisitiza na kuomba wananchi wamuombee.
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link