Home » » CCM Kata ya Sakina wafanya dua ya kumuombea Rais Dk John P. Magufuli

CCM Kata ya Sakina wafanya dua ya kumuombea Rais Dk John P. Magufuli

Written By CCMdijitali on Tuesday, May 3, 2016 | May 03, 2016


Baadhi ya Viongozi wa CCM Kata ya Sakina wakifanya dua ya kumuombea Rais Dk John P. Magufuli ,kabla ya kuanza kwa kikao.
Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua,Mwenyekiti wa CCM Kata Bi Neema Onesmo na Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Martin Munissi wakiwa meza kuu,Kata ya Sakina 02 Mei 2016



Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akiongea na viongozi waliofika katika Semina iliyofanyika Kata ya Sakina 03 Mei 2016 katika ziara ya Kujenga Chama anayoifanya katika Kata zote 25 ndani ya Jiji la Arusha hii ikiwa ni siku ya 13 tangu aanze ziara hiyo anayotegemea kuhitimisha tarehe 22 Mei 2016
 Kulia - kushoto ni Katibu wa CCM Kata ya Sakina Ndg Zuberi Siwedi,Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Martin Munissi , Mwenyekiti wa CCM Kata ya Sakina Bi Neema Onesmo ,Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua na Muasisi wa Chama Cha Mapinduzi Mzee Hashim Hussein Mohamed katika Semina iliyofanyika Kata ya Sakina 03 Mei 2016 katika ziara ya Kujenga Chama anayoifanya katika Kata zote 25 ndani ya Jiji la Arusha hii ikiwa ni siku ya 13 tangu aanze ziara hiyo anayotegemea kuhitimisha tarehe 22 Mei 2016
 Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua na Mwenyekiti wa CCM Kata Bi Neema Onesmo ,wakiongea jambo  meza kuu,Kata ya Sakina 02 Mei 2016
 Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua na Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Martin Munissi wakiserebuka ......


 Mwenyekiti wa CCM Kata Bi Neema Onesmo ,akimkaribisha mgeni rasmi katika semina ya Kazi ya Kujenga Chama inayofanywa na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua  katika Kata ya Sakina 02 Mei 2016
 Viongozi wa Wilaya ya Arusha pamoja na  Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Kata na Matawi na Wajumbe wa Halmashauri Kuu za Matawi na baadhi ya Viongozi wa Mashina ya Wakereketwa wa kata ya Sakina  wakifanya dua ya kumuombea Mheshimiwa Rais Dk John P. Magufuli  kwa Mwenyenzi Mungu,ili amfanyie wepesi katika utendaji wake mahiri aliounyesha kwa umma wa Watanzania ,kwa kutumbua Majipu na kurejesha Nidhamu, Uadilifu na Uwajibikaji Serikalini, kabla ya kuanza kwa kikao cha  Semina iliyofanyika Kata ya Sakina 03 Mei 2016 katika ziara ya Kujenga Chama inayoyofanywa na Katibu Mwenezi wa CCM Wilaya ya Arusha katika Kata zote 25 ndani ya Jiji la Arusha hii ikiwa ni siku ya 13 tangu aanze ziara hiyo anayotegemea kuhitimisha 
tarehe 22 Mei 2016 .



Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Martin Munissi akiongea katika Semina iliyofanyika Kata ya Sakina 03 Mei 2016 katika ziara ya Kujenga Chama anayoifanya Katibu Mwenezi wa CCM Wilaya katika Kata zote 25 ndani ya Jiji la Arusha hii ikiwa ni siku yake ya  13 tangu aanze ziara hiyo anayotegemea kuhitimisha tarehe 22 Mei 2016
 Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Martin Munissi akisaini kitabu cha wageni katika Semina iliyofanyika Kata ya Sakina 03 Mei 2016 katika ziara ya Kujenga Chama anayoifanya Katibu Mwenezi wa CCM Wilaya katika Kata zote 25 ndani ya Jiji la Arusha hii ikiwa ni siku yake ya 13 tangu aanze ziara hiyo anayotegemea kuhitimisha tarehe 22 Mei 2016
 Katibu wa CCM Kata ya Sakina Ndg Zuberi Siwedi  na Muasisi wa Chama Cha Mapinduzi Mzee Hashim Hussein Mohamed katika Semina iliyofanyika Kata ya Sakina 03 Mei 2016 katika ziara ya Kujenga Chama anayoifanya katika Kata zote 25 ndani ya Jiji la Arusha hii ikiwa ni siku ya 13 tangu aanze ziara hiyo anayotegemea kuhitimisha tarehe 22 Mei 2016

 
 














Baadhi ya Viongozi wa Kata ya Sakina , katika kikao cha Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Kata na Matawi ,Wajumbe wa Halamashauri Kuu za Matawi na baadhi ya Viongozi wa Mashina ya Wakereketwa,katika ziara ya Kujenga Chama iliyofanywa na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha katika Kata hiyo 02 Mei 2016.
Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg jasper Kishumbua
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link