Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli ,akiongea katika semina ya Kazi ya Kujenga Chama inayofanywa na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua katika Kata ya Sakina 03 Mei 2016
Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Chama kwenye muendelezo wa ziara ya Kujenga Chama anayoifanya katika Kata zote 25 ndani ya Jiji la Arusha hii ikiwa ni siku ya 14 tangu aanze ziara hiyo anayotegemea kuhitimisha tarehe 22 Mei 2016
Katibu wa CCM Kata ya Osunyai,Bi Zubeda Abdalla akifanya mawasiliano na baadhi ya Wajumbe, kwenye muendelezo wa ziara ya Kujenga Chama anayoifanya Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua katika Kata zote 25 ndani ya Jiji la Arusha hii ikiwa ni siku ya 14 tangu aanze ziara hiyo anayotegemea kuhitimisha tarehe 22 Mei 2016
Mwenyekiti wa CCM Kata ya Osunyai,Ndg Abd Madava akisaini daftari la mahudhurio mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Chama Kata ya Osunyai, kwenye muendelezo wa ziara ya Kujenga Chama anayoifanya Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua katika Kata zote 25 ndani ya Jiji la Arusha hii ikiwa ni siku ya 14 tangu aanze ziara hiyo anayotegemea kuhitimisha tarehe 22 Mei 2016
CCM hoyeeeeeeee............kama inavyoonekana kutoka kwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Arusha Ndg mussa Mkanga,wakati akipunga kwa Wajumbe wa Mkutano huo.
Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha ,Ndg Jasper Kishumbua