Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akiwasalimia wajumbe, kwenye ziara ya Kujenga Chama Kata ya Elerai 11 Mei 2016
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akiwakumbusha Viongozi waliohudhuria kikao hicho kuheshimu na kufuata Katiba ya Chama Cha Mapinduzi ,kama inavyoelekeza kuhusu uingizaji Wanachama ili kuwa Waumuni wa kweli wa Chama, kwenye ziara ya Kujenga Chama Kata ya Elerai 11 Mei 2016
- Pia aliwakilisha maelekezo ya Kamati ya Siasa CCM Wilaya,kikao kilichoketi Machi 2016
- Aliwataka Viongozi wa Matawi kuwa karibu na kuwatembelea Viongozi wa mashina mara kwa mara
Kaimu Mwenyekiti na Katibu wa Kata ya Elerai, Ndg Benedict Macha akiwatambulisha Wajumbe na kumkaribisha Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha Ndg Jasper Kishumbua, katika kikao cha Semina ya Kujenga Chama kwa Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Kata na Matawi ,Wajumbe wa Halamashauri Kuu za Matawi na baadhi ya Viongozi wa Mashina ya Wakereketwa, 11 Mei 2016.
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria, katika kikao cha Semina ya Kujenga Chama kwa Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Kata na Matawi ,Wajumbe wa Halamashauri Kuu za Matawi na baadhi ya Viongozi wa Mashina ya Wakereketwa, 11 Mei 2016.
Karibu na eneo la Mkutano......
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akiagana na baadhi ya Viongozi waliohudhuria kikao,mara baada ya kumaliza, kwenye ziara ya Kujenga Chama Kata ya Elerai 11 Mei 2016
Picha na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha Ndg Jasper Kishumbua