Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akiongea na viongozi katika kikao cha Semina ya Kujenga Chama kwa Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Kata na Matawi ,Wajumbe wa Halamashauri Kuu za Matawi na baadhi ya Viongozi wa Mashina ya Wakereketwa, kwenye viwanja vya Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Kata ya Olasiti 14 Mei 2016.
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akiwataka Viongozi wa ngazi wa ngazi zote kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa Ilani ya CCM kwa kupata taarifa za kila baada ya miezi mitatu,kama inavyoelekezwa kwenye Ilani aliyoishika mkononi kwenye ziara ya Kujenga Chama Kata ya Olasiti 14 Mei 2016
Mwenyekiti wa CCM Kata ya Olasiti, Ndg Amon O. Mangatinda akimkaribisha katika semina ya Kazi ya Kujenga Chama inayofanywa na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua 14 Mei 2016.
Katibu wa Kata ya Olasiti, Ndg Eliakimu Olodi akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM Kata ya Moivaro Ndg Amon O. Mangatinda ili aweze kufungua kikao, katika kikao cha Semina ya Kujenga Chama kwa Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Kata na Matawi ,Wajumbe wa Halamashauri Kuu za Matawi na baadhi ya Viongozi wa Mashina ya Wakereketwa, 14 Mei 2016.
Katibu wa Siasa na Uenezi Kata ya Olasiti, Ndg Bruno M. Mereyeki akitoa maelekezo, katika kikao cha Semina ya Kujenga Chama kwa Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Kata na Matawi ,Wajumbe wa Halamashauri Kuu za Matawi na baadhi ya Viongozi wa Mashina ya Wakereketwa, 14 Mei 2016.

Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akiagana na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Chama Kata ya Moivaro mara baada ya kuhitimisha semina ya Kujenga Chama Kata ya Olasiti 14 Mei 2016
Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha, Ndg Jasper Kishumbua
Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha, Ndg Jasper Kishumbua