Home » » Mwenyekiti wa CCM Kata ya Sokon I, Ndg Yusuf D. Boy amkuna Mwenezi Jiji la Arusha.

Mwenyekiti wa CCM Kata ya Sokon I, Ndg Yusuf D. Boy amkuna Mwenezi Jiji la Arusha.

Written By CCMdijitali on Sunday, May 15, 2016 | May 15, 2016

  •   Mwenyekiti wa CCM Kata ya Sokon I, Ndg Yusuf D. Boy asema mara mwisho semina kama hiyo kufanyika ni 1970 wakati wa Mwenyekiti Kanyuwana.
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akiongea na viongozi waliofika katika Semina iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Chama Kata ya  Sokon I  
14 Mei 2016.
Ikiwa ni muendelezo wa ziara aliyoianza 18 Aprli 2016 mpaka 29 Mei 2015. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Sokon I, Ndg Yusuf D. Boy na Katibu wa Kata Ndg Nasibu J. Wahanza
Katibu wa Kata Ndg Nasibu J. Wahanza akitoa ufafanuzi katika kikao .
Baadhi ya Viongozi wa Kata ya Matawi, katika kikao cha Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Kata na Matawi ,Wajumbe wa Halmashauri Kuu za Matawi na baadhi ya Viongozi wa Mashina ya Wakereketwa,katika ziara ya Kujenga Chama iliyofanywa na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha katika Kata hiyo 14 Mei 2016.
Picha na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha, Ndg Jasper Kishumbua

Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link