Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha akimshukuru Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha, Ndg Jasper Kishumbua kwa nasaha na semina nzuri aliyoitoa, kwa niaba ya Viongozi wa Kata ya Osunyai 28 Mei 2016.
Baadhi ya Viongozi wa Tawi la Ngusero na Kirika B, Kata ya Osunyai,wakimsikiliza Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha (hayupo pichani) katika kikao cha Semina ya Kujenga Chama iliyofanywa katika Kata hiyo 28 Mei 2016.
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria, katika kikao cha Semina ya Kujenga Chama kwa Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Kata na Matawi ,Wajumbe wa Halmashauri Kuu za Matawi na baadhi ya Viongozi wa Mashina ya Wakereketwa,28 Mei 2016 wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli ,mara baada ya kupewa nafasi ya kutoa salamu kwa niaba ya Wajumbe wa Kata ya Osunyai.