Wenyeviti wa Mitaa ya Olmoti, Ngaramtoni, Mlimani City na NAFCO,washiriki Kamati ya Siasa.
Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Feruzy Bano,akisaini kitabu cha wageni kwenye Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Kata ya Olmoti leo, katika ziara hiyo ameongozana na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua(hayupo pichani) kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Olmoti Ndg Edward Naivasha.
Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Feruzy Bano,akiongea na Viongozi wa Kamati ya Siasa ya Kata ya Olmoti na Viongozi wa CCM wa Serekali za Mitaa ya Olmoti,Ngaramtoni , Mlimani City na NAFCO katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Kata ya Olmoti leo, katika ziara hiyo ameongozana na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (hayupo pichani)
Katibu wa CCM Kata ya Olmoti (kushoto) Ndg Mosses Petro meza kuu akiwa Mwenyekiti wa Kata na Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha (pichani)
Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Feruzy Bano,akisaini kitabu cha wageni kwenye Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Kata ya Olmoti leo, katika ziara hiyo ameongozana na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua(hayupo pichani) kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Olmoti Ndg Edward Naivasha.
Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Feruzy Bano,akiongea na Viongozi wa Kamati ya Siasa ya Kata ya Olmoti na Viongozi wa CCM wa Serekali za Mitaa ya Olmoti,Ngaramtoni , Mlimani City na NAFCO katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Kata ya Olmoti leo, katika ziara hiyo ameongozana na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (hayupo pichani)
Mwenyekiti wa Serekali ya Mtaa wa Ngaramtoni Ndg Hamadi Abdallah akitoa ufafanuzi juu ya Ofisi ya Mtaa wa Mlimani City ,ilivyopatikana na kufikia mahali ilipo.
Viongozi wakikagua eneo la Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Kata ya Olmoti,mara baada ya kikao.
Eneo la Ofisi ya Mtaa na CCM ,kama linavyoonekana .