Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (kulia),Mwenyekiti wa CCM Kata ya Olmoti Ndg Edward Naivasha (katikati) na Katibu wa CCM Kata ya Olmoti Ndg moses Petro wakiwa meza kuu,katika Ofisi za CCM Kata ya Omoti 04 Juni 2016
Mwenyekiti wa CCM Kata ya Olmoti Ndg Edward Naivasha akimkaribisha mgeni rasmi katika semina ya Kazi ya Kujenga Chama inayofanywa na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua 04 Juni 2016
Muonekana wa Ofisi ya CCM Kata ya Olmoti.
Baadhi ya Viongozi wa Kata ya Olmoti , katika kikao cha Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Kata na Matawi ,Wajumbe wa Halamashauri Kuu za Matawi na baadhi ya Viongozi wa Mashina ya Wakereketwa,katika ziara ya Kujenga Chama iliyofanywa na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha katika Kata hiyo 04 Juni 2016.
Baada ya Semina ,maswali au ushauri ulitolewa na baadhi ya Viongozi walioshiriki katika semina hiyo.
Mara baada ya Semina ,wajumbe waliweza kupiga picha za ukumbusho ,kama inavyoonekana katika picha.
Picha zote na Idara ya Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha