Viongozi wa Kata ya Terati wakimuombea dua Rais Dkt. John Pombe Magufuli,Waziri Mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa na Makamu wa Rais Samia Hassan Suluhu na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson kabla ya kuanza kwa semina ya Kujenga Chama iliyofanywa na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua katika viwanja vya Chama Cha Mapinduzi Kata ya Terati
04 juni 2016.
Picha ya pamoja na baadhi ya viongozi baada ya semina ya Kujenga Chama iliyofanywa na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua katika viwanja vya Chama Cha Mapinduzi Kata ya Terati
04 juni 2016.
04 juni 2016.
Mwenyekiti wa CCM Kata ya Terati Ndg Fredy Molel akimshukuru Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha, Ndg Jasper Kishumbua kwa nasaha na semina nzuri aliyoitoa, kwa niaba ya Halmashauri Kuu ya Kata 04 Juni 2016.
Wajumbe wakimsikiliza kwa makini Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha Ndg Jasper Kishumbua alipokuwa anaongea na viongozi waliofika katika Semina iliyofanyika katika katika viwanja vya Chama Cha Mapinduzi Kata ya Terati
04 juni 2016.
Ikiwa ni muendelezo wa ziara aliyoianza 18 Aprli 2016 mpaka 05 Juni 2016.
04 juni 2016.
Ikiwa ni muendelezo wa ziara aliyoianza 18 Aprli 2016 mpaka 05 Juni 2016.
Mara baada ya Semina, Wajumbe walipata muda wa kuchangia mada mbali mbali kuhusiana Semina au kero zilizoko katika Kata hiyo.
Picha na Idara ya Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha.