Mwenyekiti wa CCM Kata ya Olorien Ndg Mosse Koya akimkaribisha mgeni rasmi katika semina ya Kazi ya Kujenga Chama iliyofanywa na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua 05 Juni 2016
Katibu wa CCM Kata ya Olorien Ndg Jonas Daudi akiwatambulisha viongozi waliohudhuria kikao cha Semina ya Kujenga Chama iliyofanywa na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha katika Kata hiyo 05 Juni 2016.
Wajumbe wakimsikiliza kwa makini Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya Arusha Ndg Jasper Kishumbua alipokuwa anaongea na viongozi waliofika katika Semina iliyofanyika katika katika ukumbi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Kata ya Olorien
05 Juni 2016.
05 Juni 2016.
Mjumbe akichangia mada mbali mbali kuhusiana Semina au kero zilizoko katika Kata hiyo.
Ndg Abel Kalama akiushukuru na kuupongeza Uongozi wa CCM Wilaya ya Arusha kwa Semina nzuri na ya kujenga na kuihua Uhai wa Chama.
Olorien