Home » » Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Daudi Ntibenda,awaapisha Wakuu wa Wilaya.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Daudi Ntibenda,awaapisha Wakuu wa Wilaya.

Written By CCMdijitali on Friday, July 1, 2016 | July 01, 2016

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Daudi Felix Ntibenda,amewaapisha Wakuu wa Wilaya za Longido,Arumeru,Meru,Arusha,Ngorongoro na Monduli,kwenye Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Mirisho Mashaka Gambo
  • Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Alexander Pastory Mnyeti
  • Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Mhe. Rashid Mfaume Taka.
  • Mkuu wa Wilaya ya Longido Mhe. Daniel Geofrey Chongolo
  • Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Idd Hassan Kimanta na
  • Mkuu wa Wilaya ya Karatu Mhe. Therezia Jonathan Mahongo
 
 Mara baada ya kuwaapisha Wakuu wa Wilaya ,Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Daudi Felix Ntibenda,aliongea na Viongozi wa Serekali , Chama na Wananchi waliohudhuria kwenye hafla hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo 01 Julai 2016.
Picha ya Wakuu wa Wilaya na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Daudi Felix Ntibenda,mara baada ya shughuli ya kuwaapisha,nje ya Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha leo,01 Julai 2016.
Mkuu  wa Wilaya ya Arusha mh Mrisho Gambo na familia yake na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Daudi Felix Ntibenda,mara baada ya kula kiapo,nje ya Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha leo,01 Julai 2016.
 Viongozi wa Wilaya ya Arumeru wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Alexander P.Mnyeti na baadhi ya viongozi wa Serekali na Chama Cha Mapinduzi na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Daudi Felix Ntibenda,mara baada ya kula kiapo,nje ya Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha leo,01 Julai 2016.
Viongozi wa Wilaya ya Monduli  wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Idd Hassan Kimanta na baadhi ya viongozi wa Serekali na Chama Cha Mapinduzi na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Daudi Felix Ntibenda,mara baada ya kula kiapo,nje ya Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha leo,01 Julai 2016.
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha (MNEC) Ndg Lekule Laizer akisalimiana na Wakuu wa Wilaya walioteuliwa ,mara baada kuwasili kwenye sherehe kuapishwa kwa Wakuu hao
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Mrisho Gambo akila kiapo mbele ya  Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Daudi Felix Ntibenda, kwenye hafla  iliyofanyika kwenye Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo 01 Julai 2016.
 Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Mhe. Rashid Mfaume Taka akila kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Daudi Felix Ntibenda, kwenye hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo 01 Julai 2016.
 Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Alexander Pastory Mnyeti akila kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Daudi Felix Ntibenda, kwenye hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo 01 Julai 2016.
 Mkuu wa Wilaya ya Longido  Mhe. Daniel Geofrey Chongolo akila kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Daudi Felix Ntibenda, kwenye hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo 01 Julai 2016.

Wakuu wa Wilaya wateuliwa,wakisubiri kuapishwa  kwenye hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo 01 Julai 2016.
 Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Iddy Hassan Kimanta akila kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Daudi Felix Ntibenda, kwenye hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo 01 Julai 2016.


Mkuu wa Wilaya ya Karatu Mhe. Therezia Jonathan Mahongo akila kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Daudi Felix Ntibenda, kwenye hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo 01 Julai 2016.
 Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha akisoma taarifa ya Mkoa wa Arusha.
 

 Ngorongoro
 Wakuu wa Wilaya wakijitambulisha mara baada ya kula kiapo , kwenye hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo 01 Julai 2016.
 Baadhi ya viongozi meza kuu Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Daudi Felix Ntibenda,kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha (MNEC) Ndg Lekule Laizer na kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa, kwenye hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo
01 Julai 2016.


Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Mirisho gambo akijitambulisha mara baada ya kula kiapo , kwenye hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo 01 Julai 2016.
 Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Daudi Felix Ntibenda,akiteta jambo na  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha (MNEC) Ndg Lekule Laizer , kwenye hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo 01 Julai 2016.
 Mkuu wa Wilaya aliyemaliza muda wake Mhe Nkhambako aliyekuwa Wilaya ya Arumeru, akitoa shukurani kwa niaba ya Wakuu wa Wilaya wote waliomaliza muda wao,kwenye hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo 01 Julai 2016.





Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg wilfred Soileli akisalimiana na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe nkhambako mara baada ya kutoa neno la shukurani kwa niaba ya Wakuu wa Wilaya wote waliostaafu.




 Kaimu Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Bilali akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya
Monduli Mhe.Iddy Hassan Kimanta mara baada ya hafla ya kuwapisha ,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo 01 Julai 2016.









Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Monduli Ndg Sanare akiwa Katibu wa CCM Wilaya Monduli Ndg Elisante Kimaro na Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya hiyo Ndg Abdul Bano , kwenye hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo 01 Julai 2016.

Picha na Jasper Kishumbua/Ktb Mwenezi CCM Wilaya ya Arusha
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link