





Changamoto ya wakimbizi kutoroka nakurudi nchini kwao kinyemelea,inawafikisha mikononi mwa Mh:Mwigulu Nchemba ambaye ameshuhudia wakimbizi kadhaa katika mpaka wa Manyovu wakijaribu kurejea Burundi kinyemela
bila kufuata taratibu.







Mwigulu Nchemba akisaidia ufyatuaji wa tofali za ujenzi wa makazi ya wakimbizi waliomba hifadhi kwenye kambi ya Nduta wilaya ya Kibondo.



Picha/Maelezo na Festo Sanga Jr.