Home » » USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA MAWASILIANO NA KAMPUNI YA ALARKO KUTOKA UTURUKI, NA SHIRIKA :LA MAENDELEO UJERUMANI (GIZ)

USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA MAWASILIANO NA KAMPUNI YA ALARKO KUTOKA UTURUKI, NA SHIRIKA :LA MAENDELEO UJERUMANI (GIZ)

Written By CCMdijitali on Monday, August 29, 2016 | August 29, 2016

 Mkuu wa Wakurugenzi wa Kampuni ya Alarko kutoka nchini Uturuki Bw. Izzet Garih (wa kwanza kushoto) akizungumzia  kuhusu ushirikiano baina ya kampuni hiyo na sekta ya mawasiliano,  na (wa kwanza kulia) ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia  sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora. 

 Picha ya pamoja baada ya mazungumzo.

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Dkt. Kamugisha Kazaura akizungumza  wakati wa kikao  cha  Ushirikiano baina Sekta ya Mawasiliano na Kampuni ya Alarko.

 Mwakilishi Mkazi wa shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ) Dkt. Regine Qualmann (katikati) akizungumza jinsi wanavyoitumia TEHAMA  katika kufikisha huduma, (kushoto) ni Katibu
Mkuu wa Wizara  ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora na (Kulia) ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mhandisi Dkt. Maria Sasabo.  


Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora (kushoto) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa shirika la maendeleo la Ujerumani (GIZ) Dkt. Regine Qualmann kuhusu ushirikiano baina ya Wizara  na  shirika hilo katika upande wa Tehama .


Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link