Home » » Mkuu wa Wilaya Arusha Mhe Gabriel Daqarro atembelea Ofisi za Chama Wilaya Arusha na Mkoa .

Mkuu wa Wilaya Arusha Mhe Gabriel Daqarro atembelea Ofisi za Chama Wilaya Arusha na Mkoa .

Written By CCMdijitali on Thursday, September 1, 2016 | September 01, 2016


 

 Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha,kushoto kwake ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa (MNEC) Mzee Lekule Laizer, Katibu wa Siasa na Uenezi Mkoa Ndg Shaaban Mdoe, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli na Katibu wa Jumuiya WAZAZI Wilaya ya Arusha Ndg Mohamed Mavallah leo 01 Sept. 2016

 Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro akiwasili katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha,kulia kwake ni Katibu wa Jumuiya WAZAZI Wilaya ya Arusha Ndg Mohamed Mavallah leo 01 Sept. 2016

 Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro akisalimiana na  Mwenyekiti wa CCM Mkoa (MNEC) Mzee Lekule Laizer,mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha, leo 01 Sept. 2016

 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli  akisalimiana na  Mwenyekiti wa CCM Mkoa (MNEC) Mzee Lekule Laizer,mara baada ya kuwasili  katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha, leo 01 Sept. 2016

 Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro akiwa na Katibu wa Uchumi na Fedha CCM Mkoa Ndg Hillaly Sood  katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha, leo 01 Sept. 2016
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa (MNEC) Mzee Lekule Laizer akiongea na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro mara baada ya kumtembelea Ofisini kwake akiwa ameambatana  na Viongozi wa Chama Wilaya ya Arusha.

 Kushoto - kulia ni Katibu wa UWT Mkoa wa Arusha Bi Fatuma Tse, Katibu wa Uchumi na Fedha CCM Mkoa Ndg Hillaly Sood  na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha, leo 01 Sept. 2016

Kushoto ni  Katibu wa Uchumi na Fedha CCM Mkoa Ndg Hillaly Sood  na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha, leo 01 Sept. 2016



 Kushoto ni  Katibu wa Uchumi na Fedha CCM Mkoa Ndg Hillaly Sood  na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha, leo 01 Sept. 2016

 Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli pamoja na baadhi ya Viongozi wa Jumuiya na Wafanyakazi wa CCM Wilaya,katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha ,leo Sept. 01,2016


  Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli ,leo Sept. 01,2016

 Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro akiagana na Katibu wa UWT Wilaya ya Arusha Bi Jane Nyari mara baada ya kutembelea Ofisi za Chama Wilaya ,leo Sept. 01,2016





 MNEC wa Wilaya ya Arusha Ndg Godfrey Mwalusamaba (kushoto),mfanya biashara maarufu Jijini Arusha Ndg Morris Nyangabo na kulia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli ,leo Sept. 01,2016 katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua.

 MNEC wa Wilaya ya Arusha Ndg Godfrey Mwalusamaba (kushoto) na Katibu wa Jumuiya WAZAZI Wilaya ya Arusha Ndg Mohamed Mavallah leo 01 Sept. 2016 katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua.


Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli, wakiteta jambo na wadau wa Utalii Mkoani Arusha, Ofisi za Chama Wilaya ,leo Sept. 01,2016
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link