Home » » TUKIO LA KIHISTORIA LA KUPATWA KWA JUA RUJEWA MBALARI MKOANI MBEYA...

TUKIO LA KIHISTORIA LA KUPATWA KWA JUA RUJEWA MBALARI MKOANI MBEYA...

Written By CCMdijitali on Thursday, September 1, 2016 | September 01, 2016

 Baadhi ya Wanasayansi kutoka nje ya Nchi ya Tanzania wakipata Taswira ya tukio hilo la kupatwa kwa Jua tukio lililo onekana vyema Eneo la Rujewa Mbalari Mkoani Mbeya.

Maelfu ya Watu kotoka Sehemu Mbalimbali Duniani walijitokeza kwa wingi kushuhudia tukio kubwa la Kihistoria Duniani la kupatwa kwa Jua lililo onekana vyema katika Eneo la Rujewa Relini Wilayani Mbalari Mkoani Mbeya ni Mara baada ya Miaka Mingi tukio hili kutokea Duniani, wengi wafarijika kushuhudia tukio hilo la Kihistoria la kupatwa kwa Jua.

 Taswira ya Muonekano wa Jua likipatwa.

 Mkuu wa mkoa wa mbeya kulia Mh.Amos Makalla akizungumza jambo na Mdau Kutoka Katika Eneo la Tukio Rujewa Mbalari Mkoani Mbeya.

Mitambo Ikiwekwa sawa.


 Picha zikichukuliwa na Wapiga picha.
 Baadhi ya watu Walio hudhuria Eneo la Tukio.
 Biashara Zikiendelea..
 "Njoo Rafikiiii  Mambo yamenogaaaaaa"
 "Mpaka kieleweke Hapaaa"
 Migahawa ya Vyakula Iliamia eneo la Tukio kutoa Huduma ya Chakula.
Burudani ya  Ngoma Za Asili Ikitolewa.

Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link