Home » » Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Ndg. Athumani Kihamia afungua awamu ya 3 ya Uhawilishaji wa Kaya Masikini - Arusha

Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Ndg. Athumani Kihamia afungua awamu ya 3 ya Uhawilishaji wa Kaya Masikini - Arusha

Written By CCMdijitali on Saturday, November 26, 2016 | November 26, 2016

Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Ndg. Athumani Kihamia amefungua awamu ya tatu ya uhawilishaji wa Kaya Maskini kupitia Mpango wa Tasaf – III unaoendelea katika Mitaa ya Jiji la Arusha.

Akiongea na wananchi wa Mtaa wa Lolovono, Olmokeya, Madukani na Muriet, Mkurugenzi Kihamia amesisitiza matumizi bora ya Fedha za Tasaf kwa kuanzisha miradi midogo midogo itayowawezesha kuongeza kipato chao na hatimaye kujikwamua kwenye umasikini.

Mpango huu unahusisha Mitaa 70 na Kaya 5377 za Jiji la Arusha.
Kwa mwaka wa Fedha 2016/2017 kiasi cha Fedha ni kilichotolewa ni Tsh Mil 612.












Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link