Katibu wa CCM Wilaya ya Arsuha Ndg Jasper Kishumbua ,Mkuu wa Wilaya ya Meru Ndg Alexander Mnyeti (katikati) na Katibu wa WAZAZI Mkoa .

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha Mzee Lekule akiongea na Kaimu Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Omari Bilali.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli na Katibu wa Siasa na Uenezi Mkoa Ndg Shaaban Mdoe .
Katibu wa UVCCM Mkoa wa Arusha na Katibu wa Jumuiya ya WAZAZI Mkoa (kulia)
Katibu wa CCM Tawi la Kaloleni Magharibi,Bi Flora na Balozi Bi Hawa (kulia)
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli (kulia) ,Katibu wa Shirkisho la Vyuo Vikuu Mkoa wa Arusha,Katibu wa UWT Wilaya ya Arusha Bi Jane Nyari na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (kulia)
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli (kulia) Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (kushoto) na Bi Fatuma Mohamedi.
Kaimu Katibu Mkuu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Bilali ,Katibu wa Siasa na Uenezi Mkoa Ndg Shaaban Mdoe na Mwenyekiti wa UWT Mkoa Bi Flora Zelote.
Viongozi wa Kata ya Kaloleni.
Viongozi kutoka Kata ya Elerai na Sokon I
Mwenyekiti wa Jumuiya ya WAZAZI Kata ya Kaloleni Ndg Mwenda akiwa Katibu wa UWT Kata Bi Swaumu.
Mwenyekiti wa CCM Tawi la Kaloleni Magharibi akiwa katika ukumbi wa CCM Mkoa Arusha.
Viongozi wa Kata ya Sekei ,wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Kata,Ndg Khalid (katikati) Katibu wa CCM Kata ,Bi Ruth Msuya na Katibu wa UVCCM Kata .