Wenezi wapewa ratiba ya ukaaji wa Vikao
Wahimizwa kutoa madarasa ya Itikadi kwa Wanachama Wapya
Watakiwa kuandaa taarifa za Hali ya Kisiasa ya kila mwezi.
Wahimizwa kusikiliza kero za Wananchi kwenye Mashina.
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (wa tatu kutoka kushoto) ,akiwa na baadhi Matibu Wenezi Kata na Matawi katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Arusha,mara baada ya kikao cha kazi.(Kushoto- kulia) Kaimu Katibu wa WAZAZI Wilaya ya Arusha Ndg Issa Msangi,Julius Michael (Mateves), Ktb Kata Olorien Jonas,Ayubu Lemilya ( Mtaa wa Mlimani),Godwin Katamboi (Olmoti) na Iddy Rajabu (Moivaro)
Makatibu Wenezi katika picha ya pamoja kwenye Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli akiongea na Makatibu Wenezi kwenye Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha,katika kikao kilichoandaliwa na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua.
Mara baada ya kikao Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akiwa na baadhi ya Makatibu Wenezi.
Mwenyekiti wa UWT Kata ya Olorien akisalimiana na Katibu Mwenezi wa Kata ya Kati bi Zamzam kwenye Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha.
Mwenyekiti wa UWT Kata ya Olorien akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu Wenezi ,kutoka Kata za :Moivaro, Olmoti,Olorien,Kati, Sekei,Moshono,Engutoto,Daraja II ,Sinoni Kaloleni na Themi .
Wenezi wakimsikiliza Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua ,wakti akitoa maelekezo .
Katibu Mwenezi wa Kata ya Olorien,Ndg Abel Mkalama, akieleza jambo katika kikao.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli akiwashuru Wenezi katika kikao kilichofanyika chini ya uandamizi wa Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha,Ndg Jasper Kishumbua.