Home » » Vijana CCM Unga Viwandani ESSO wasaidia madawati 81 - Arusha

Vijana CCM Unga Viwandani ESSO wasaidia madawati 81 - Arusha

Written By CCMdijitali on Thursday, January 26, 2017 | January 26, 2017



Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Arusha Athmani Kihamia akiwashukuru vijana wa Shina la Juhudi na Mshikamano pamoja na Shina la la Pamoja Nguvu kupitia Chama Cha Mapinduzi eneo la Unga Ltd Viwandani kwa msaada wa madawati 81 yenye thamani ya Sh milioni 6.48

Katibu wa Siasa na uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akiwapongeza vijana wa Shina la Juhudi na Mshikamano pamoja na Shina la la Pamoja Nguvu kwa kuitikia wito wa "Hapa Kazi Tu" na kujitoa kwa ajili ya wengine wenye uhitaji wa Elimu.

Katibu wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Iddy Ntonga akiwasihi Vijana wa Shina la Juhudi na Mshikamano pamoja na Shina la la Pamoja Nguvu ,kuchapa kazi na kujiwekea akiba kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi ikiwemo kujitoa kwa ajili ya kusaidia jamii inayowazunguka.

Katibu wa Shina la juhudi na Mshikamano Safiel Mgonja akisoma risala yao fupi kwa mgeni rasmi,Kihamia Athmani.

Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Arusha Athmani Kihamia akiwashukuru vijana wa Shina la Juhudi na Mshikamano pamoja na Shina  la Pamoja Nguvu kupitia Chama Cha Mapinduzi eneo la Unga Ltd Viwandani mara baada ya kupokea msaada wa madawati 81 yenye thamani ya Sh milioni 6.48 akiwaeleza kuwa yatawezesha watoto wao na wengine kukaa vizuri na kusikiliza masomo yanayofundishwa darasani.

 Viongozi meza kuu.

Madawati.






Picha ya pamoja.


Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Arusha Athmani Kihamia (katikati) ,Katibu wa Siasa na uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (kulia) na Katibu wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Iddy Ntonga (kushoto) wakiwa wamekalia moja ya madawati yaliyokabidhiwa.


Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Arusha Athmani Kihamia (katikati) ,Katibu wa Siasa na uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (kulia) na Katibu wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Iddy Ntonga (kushoto) wakikagua  madawati .



Sehemu ya Umati wa vijana wa CCM  Shina la Juhudi na Mshikamano pamoja na Shina  la Pamoja Nguvu kupitia Chama Cha Mapinduzi eneo la Unga Ltd Viwandani wakisikiliza kwa makini mkubwa nasaha zilizokuwa zinatolewa.


















Katibu wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Iddy Ntonga akiwahamasisha kwa nyimbo Vijana wa CCM  Shina la Juhudi na Mshikamano pamoja na Shina  la Pamoja Nguvu kupitia Chama Cha Mapinduzi eneo la Unga Ltd Viwandani.


Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link